VIDEO: Dr. Slaa and VOA interview washington, D.C. September 2013

VIDEO: Dr. Slaa and VOA interview washington, D.C. September 2013

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
480
Reaction score
644
Dr. Slaa and VOA interview washington, D.C. September 2013
TAHAZARI!

Video hizi zimerekodia kwa simu ya kiganjani; hivyo basi, zinaweza zisiwe na ubora ambao unatarajia, lakini tumeona ni vizuri kuzitoa ili wale walio kosa fursa ya kusikiliza mahojiano haya kupitia Voice of America moja kwa moja kutoka Washington, D. C., Marekani, siku ya Alhamis September 24, 2013. nao wapate fursa ya kusikiliza busara za Dr. Wilbrod Slaa. Samahani kwa ubora usio lizisha.

Dr. Slaa and VOA interview washington, D.C. September 2013 Part 1



Dr. Slaa and VOA interview washington, D.C. September 2013 Part 1




Source: CHADEMA DIASPORA : Dr. Slaa and VOA interview washington, D.C. September 2013
 
Last edited by a moderator:
Kweli slaa ndo alipaswa kuwa rais wa nchi...ila inshallah tuombe mungu tu atakuwa
 
Back
Top Bottom