Video Director wa Matangazo ya Haki Elimu

Video Director wa Matangazo ya Haki Elimu

Writter

Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
39
Reaction score
151
Wakuu kwema?

Nimetoka kuangalia tangazo la huyu binti anayerudi shule baada ya kupata ujauzito, na kwamba ni kweli haki elimu ni matangazo bora zaidi ya Elimu kwa miaka mingi.

Ni nani Mtayarishaji na Muongozaji?

Imefika wakati watu kama hawa wajulikane na wapewe heshima zao na wapate nafasi ya kufanya kazi kubwa zaidi.

Tuwajue sasa!
 
yule mwalimu sijui kwanini hakuzungusha bakora darasa zima baada ya wale madogo kuanza kumuongelea ovyo yule binti aliyerudi class
 
Back
Top Bottom