PreGE2025 VIDEO: CHAUMMA wametoa wapi pesa? Tazama maandalizi ya Mkutano Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Watakkuwa wameuza ubwabwa wa surplus
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

CDM wahakikishe ile hati ya mikocheni inatunzwa hawa matapeli na washirika wao hawachelewi kuchukua na makao makuu ya chama nakudai ni mali yao
 
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Hela inatoka Ikulu
 
Inawezekana kuwa wale watu wenye uwezo wa kipesa waliokuwa wanaiunga mkono CDM ya Mbowe wamehamishia nguvu zao Chaumma. Tukumbuke wengi wao walikuwa kwenye sekretariat ya CDM hivyo wanawajua watu hao. Watu hao hawawezi kuisupport CDM ya sasa ambayo inaelekea haina strategy yeyote ya kupata wanacho kidai.

Amandla...
 
Af
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.

Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.

Hujui tu ... Chauma huwa Wako smart Sana na budget za ruzuku yao. 🙏😁
 
Ngoja na mimi nijihimu niandae suti yangu, si ya kukosa hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom