inasikitisha na kuhuzunisha sana
Mkuu mbona hamna kitu!
Mkuu haionekaniVideo iko vizuri na nimejaribu kwa kadri niwezavyo kuonyesha the moment of blast nikiwa mita 100. Fuatilia mkuu utaona blast kwa mbali na moshi na hatimaye watu kuanza kukimbia. Sikuwa karibu kwani ningekuwa nami naagwa leo
Mkuu haionekani
We umeiona wapi?