Wanawake na bodaboda huwaambii kitu. Hivi zamani mbona tuliishi bila bodaboda? Kwanza zimefanya watu wengi hasa wanawake kuwa legelege kwa sababu ya kutumia baodaboda sehemu ambazo zamani walikuwa wanatembea kwa miguu.
Huwa najiuliza bodaboda na abiria wao nani akili kisoda maanake wakati bodaboda anafanya ujinga wake unakuta mtu na suti yake katulia tu kiti cha nyuma anakenua meno tu!