Jana tu asee maeneo ya jirani na mataa ya tanki bovu, kuna jamaa alitaka kunisababiahia ajali Haki Ya Mungu... Ni vile Mungu alikuwa upande wangu nikatoka nikamuachia njia nilicontrol piki piki na kuvua gear mpaka nikasimama nikiwa nje ya barabara... Jamaa alivyoona vile akakimbia pia na pikipiki yake akageuza .. Ila ni Mungu tu