VIDEO: Arab Massacre in Zanzibar

VIDEO: Arab Massacre in Zanzibar

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
19,020
Reaction score
9,177
[h=1]Arab Massacre in Zanzibar[/h]

[video=youtube_share;4lpY8_mKvjk]http://youtu.be/4lpY8_mKvjk[/video]

[video=youtube_share;XqHi50YdAQQ]http://youtu.be/XqHi50YdAQQ[/video]
 
Tuletee na video ya mauaji ya watu hasa waafrika na wale waliouawa na waarabu kwenye mashamba huko Zanzibar. Hii itatusaidia kupata ulinganifu wa hoja na matukio ili kuondoa dhana na dhima yoyote ya upendeleo au kutoa huku kwa kuangalia upande mmoja. Ni ajabu kidogo kukuta Al Jazeera wakirusha video ya mauaji ya waarabu Zanzibar lakini Al Jazeera hao wasitafute mikanda ya mauaji ya waswahili. Je ni kwa sababu Al Jazeera inamilkiwa na waarabu ambao wengi wao mababu zao waliwauza utumwani mababu zetu kwa wazungu.
 
Very Shocking; I remain to wonder how we did manage to put behind our differences and become one, especially given the fact kwamba wenzetu walipigania uhuru wao on the street na hawakuwa na muda mrefu wa kuishi kama taifa kamili na huru la Zanzibar kwani muda mfupi baadae muungano ukazaliwa, wakati ndugu zao wa bara wao walipata uhuru wao kwenye board room huko Westminster, na kuishi kama taifa kamili na huru la Tanganyika kwa miaka mitatu kabla ya kuzaliwa kwa taifa jipya la Tanzania. Ni matumaini yangu kwamba given our recent shared history, together we will emerge stronger and united, kwa hiyari ya wananchi wa pande zote mbli (sio kwa kulazimishwa) na kwa mfumo ambao utakuwa ni chaguo la wengi (sio la wachache); Mungu ibariki Tanzania.
 
..hayo makaburi ya halaiki yako wapi??

..kwanini mpaka leo hakujafanyika dua au hitma ya kitaifa kwa kumbukumbu ya waliokufa ktk "Zanzibar genocide"??
 
Siku Wazanzibar waakijitenga na waarabu wakarudi,Wazanzibar watajuta kuzaliwa.
 
Tuletee na video ya mauaji ya watu hasa waafrika na wale waliouawa na waarabu kwenye mashamba huko Zanzibar. Hii itatusaidia kupata ulinganifu wa hoja na matukio ili kuondoa dhana na dhima yoyote ya upendeleo au kutoa huku kwa kuangalia upande mmoja. Ni ajabu kidogo kukuta Al Jazeera wakirusha video ya mauaji ya waarabu Zanzibar lakini Al Jazeera hao wasitafute mikanda ya mauaji ya waswahili. Je ni kwa sababu Al Jazeera inamilkiwa na waarabu ambao wengi wao mababu zao waliwauza utumwani mababu zetu kwa wazungu.

Hakuna waafrika walouliwa na waarabu huko Zanzibar ndio maana huwezi kupata video yake. Kwa mujibu wa takwimu za CIA, kati ya watu 15,000 hadi 20,000 waliuwawa kwa kuchinjwa, kutiwa moto, kuzamishwa baharini na kupigwa risasi katika wiki za mwanzo za mapinduzi ya Zanzibar. Ukitaka maelezo zaidi ingia kwenye tovuti ya CIA na tafuta Zanzibar Revolution.
 
Siku Wazanzibar waakijitenga na waarabu wakarudi,Wazanzibar watajuta kuzaliwa.

Na ndio wanchokitafuta.
wao wanadhani kwamba wataletewa tambo na harua, hawajui kwamba waarabu wanakumbuka fika nini kilichofanyika..
 
Hakuna waafrika walouliwa na waarabu huko Zanzibar ndio maana huwezi kupata video yake. Kwa mujibu wa takwimu za CIA, kati ya watu 15,000 hadi 20,000 waliuwawa kwa kuchinjwa, kutiwa moto, kuzamishwa baharini na kupigwa risasi katika wiki za mwanzo za mapinduzi ya Zanzibar. Ukitaka maelezo zaidi ingia kwenye tovuti ya CIA na tafuta Zanzibar Revolution.
aiseeee
 
her of All, post: 4426261, member: 72258"]Tuletee na video ya mauaji ya watu hasa waafrika na wale waliouawa na waarabu kwenye mashamba huko Zanzibar. Hii itatusaidia kupata ulinganifu wa hoja na matukio ili kuondoa dhana na dhima yoyote ya upendeleo au kutoa huku kwa kuangalia upande mmoja. Ni ajabu kidogo kukuta Al

Jazeera wakirusha video ya mauaji ya waarabu Zanzibar lakini Al Jazeera hao wasitafute mikanda ya mauaji ya waswahili. Je ni kwa sababu Al Jazeera inamilkiwa na waarabu ambao wengi wao mababu zao waliwauza utumwani mababu zetu kwa wazungu.[/QUOTE]
a

Waswahili walinyanyaswa na na kuuawa sana but it was not a massacre lakini mate so kwa waswahili yali justify mauaji ya halaiki kwa waarabu?
 
Hii picha ni ya kweli, lakini tukumbuke maana ya mapinduzi,japo inauma kuona watu wakiuwawa,lakini mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu.wakati tulionao ni wakati muafaka wa kusahau yaliyopita na kuganga yajayo wazanzibari wasameheane wajenge taifa bila kubaguana.
 
Back
Top Bottom