This is according to the wazungu standards,what is your opinion on the matter,please support your explanations with some findings or relevant examples, mwenyewe pia mbongo,nitacomment baadae
Huu ndio ukoloni mamboleo.....its a little bit controversial on the criteria and basis used..... Wazungu inapaswa ujue ni watu wa aina gani kabla hawajakupandikiza fikara zao.... Ukisikiliza hiyo video ni merely propaganda ambayo nyuma yake kama unafikiria kwa kina unaweza ku'conclude muhusika ndio kilaza wa kwanza coz hajasema utafiti wake ni criterias zipi na evidence ya sample ipi na IQ kaipima kwenye masuala yepi.....mfano unaitafsiri vipi IQ ya mtu anayefikiwa kupewa urais kama Trump ambaye aliwahi kunukuliwa akishindwa kutamka Tanzania au unatafsiri vipi IQ ya Bush na Serikali yake na Waliofanya maamuzi ya kuvamia Iraq just to realise it was a wrong decision au uamuzi wa kuiingiza libya matatizoni na baadae wanajidai kujuta....ignore that stupidity....
Nchi zilizopo mabara mengine zimeanza kukua kwa kasi kuanzia brazil mpaka india, south korea, china nk. Sis wafrika sioni dalili ya nchi yeyote kuinuka licha ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.