Video: 50% of the African population are mentally retarded

shonkoso

JF-Expert Member
Mar 13, 2015
417
1,000
This is according to the wazungu standards,what is your opinion on the matter,please support your explanations with some findings or relevant examples, mwenyewe pia mbongo,nitacomment baadae
 

Attachments

  • File size
    2.4 MB
    Views
    18

MZALENDOWAKWELIKWELI

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
327
250
Huu ndio ukoloni mamboleo.....its a little bit controversial on the criteria and basis used..... Wazungu inapaswa ujue ni watu wa aina gani kabla hawajakupandikiza fikara zao.... Ukisikiliza hiyo video ni merely propaganda ambayo nyuma yake kama unafikiria kwa kina unaweza ku'conclude muhusika ndio kilaza wa kwanza coz hajasema utafiti wake ni criterias zipi na evidence ya sample ipi na IQ kaipima kwenye masuala yepi.....mfano unaitafsiri vipi IQ ya mtu anayefikiwa kupewa urais kama Trump ambaye aliwahi kunukuliwa akishindwa kutamka Tanzania au unatafsiri vipi IQ ya Bush na Serikali yake na Waliofanya maamuzi ya kuvamia Iraq just to realise it was a wrong decision au uamuzi wa kuiingiza libya matatizoni na baadae wanajidai kujuta....ignore that stupidity....
 

Nkuba25

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
937
1,000
Hilo Mbona halina ubishi kabisa.

Kwa mfano hapa Tanzania ndio Mentally tuko Retarded kuliko Rest of Africa

Hawa ccm wametutawala kwa miaka 60 hakuna chochote cha maana walichofanya. Lakini ikifika wakati wa kampeni kuna watu huwaambii kitu.

Kwenye kupiga kura utasikia "ccm ndio imenilea". Sasa hao watu unadhani wako sawa kichwani?
 

ngawia

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
470
500
Ni kweli kabisa hiv mpaka leo tunaamini kiungo cha binadam mwenzako kitakupa utajiri.
 

ngawia

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
470
500
Nchi zilizopo mabara mengine zimeanza kukua kwa kasi kuanzia brazil mpaka india, south korea, china nk. Sis wafrika sioni dalili ya nchi yeyote kuinuka licha ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom