GE2025 Victoria Shembilu: Wananchi tuzeni, kulinda na kuimarisha amani na utulivu katika maeneo yao

GE2025 Victoria Shembilu: Wananchi tuzeni, kulinda na kuimarisha amani na utulivu katika maeneo yao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Wananchi wa Kijiji cha Minazi Mikinda, Kata ya Ruvu Stesheni, Wilaya ya Kipolisi Mlandizi, Mkoa wa Pwani wamekumbushwa kutunza, kulinda na kuimarisha amani na utulivu katika maeneo yao.

Akizungumza na wananchi kijijini hapo, Oktoba 21, 2025 Kaimu Mkuu wa Polisi Jamii, Wilaya ya Kipolisi Mlandizi, Mkaguzi wa Polisi, Victoria Shembilu aliwataka wajiepushe na tabia ya kusambaza taarifa za uzushi na zisizo sahihi ambazo zinaweza kuleta vurugu na migogoro na baina yao

Naye Polisi Kata wa Ruvu stesheni, Mkaguzi wa Polisi Sheila Msami amewataka wananchi kutoa taarifa za watu au vikundi ambao wanafanya vitendo ambavyo vitapelekea kuharibu amani, Usalama na utulivu wa nchi yetu ili wachukuliwe hatua za kisheria.

Screenshot 2025-10-22 234524.png
Screenshot 2025-10-22 234534.png
 
Back
Top Bottom