Victor Wanyama ajiunga na Tottenham Hotspur

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410

160317172320_victor_wanyama_640x360_bbc_nocredit.jpg


Tottenham Hotspur imekubali kumsajili kiungo wa kati wa Southampton mkenya Victor Wanyama kwa kima cha pauni milioni 11.

Inaaminika kuwa wanyama mwenye umri wa miaka 24, ambaye alijiunga na Southampton akitokea Celtic mwezi Julai mwaka 2013 kwa pauni milioni 12.5, kwa sasa anafanyiwa uchunguzi wa kiafya.

Sasa wanyama ataungana na meneja wake wa zamani Maurico Pochettino.

Chanzo: BBC Swahili
 
nimeamini ni marufuku kuogopa maisha nikiangalia nafasi anayokwenda kucheza wanyama na wachezaji walioko pale duu ni hatari lakini jamaa anakaza moyo
 
Back
Top Bottom