Victor Mwambalaswa: Said kubenea vs Edward Lowassa

CCMScrow ndio laana ya hii nchi. Tunazunguka kukejeliana lakini ukweli uko palepale. Hakuna mpinzani anaeza fanya ufisadi akatoboa.

Tumeona ya Mbowe billz na Sumaye shamba. Lowassa walisema anaundiwa mahakama ya mafisadi. Hadi leo haina wateja.

Tusubiri hili la madini. Maana imesemwa wakisaini mkataba London Lowassa alikua ndani ya hoteli hiyo Karamagi alokua akisainia. Je, Lowassa ataguswa. Ni wakati muafaka sasa. Maana Richmond ndo wameshindwa kumfikisha kwa pilato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…