Victor Ambrose ni nani ????

Victor Ambrose ni nani ????

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,175
Reaction score
3,275
Embu wana jamii tujiulize huyu mtu ni nani ?

Ana elimu gani ? Historia ya familia yake ikoje ? Marafiki zake ni wakina nani ? Ana mali kiasi gani na zimepatikanaje ? Je ameshawai kushtakiwa kwa kosa lolote la jinai au lingine lolote ? je ana historia yoyote ya kuwa mgomvi ? alikuwa akiwasiliana na watu gani kwenye simu au njia yoyote kwa muda wa miezi sita kabla ya tukio la bomu ?

Je alikuwa anajihusisha na siasa ? Na kama alikuwa anajihusisha na siasa alikuwa ni mwanachama wa chama gani ?

Embu tujiulize halafu tumchambue huyu mtu.

Karibuni.

===
Mkuu bucho Victor Ambrose is simply dereva wa boda boda asikuwa na uhakika wa mlo wa kesho kapewa dili na wasaudia kwa malipo manono kafanyiza.Magaidi ni hawa wasaudia waliopanga na kufanikisha mipango ya ugaidi. Serekali inalitumia jina la Victor si kwa bahati mbaya bali kujaribu kuondoa fikra na dhana kwamba waliofanya ugaidi ni waislamu. Utashanga pale majina ya wasaudia watakapotajwa Ustadhi Thomas Al ......
Victor Ambarose ni kijana wa miaka 20 ni dereva wa bodaboda amelelewa na bibi yake Arusha baada ya kufiwa na wazazi wake. Siku ya tukio ndiye alyempakia mtuhumiwa kwenye bodaboda yake na mtuhumiwa alishuka bila kulipa baada ya muda kidogo mlipuko ukasikika.
Hope kwa ufupi umeelawa kuhusu Victor
Wanajamvi hili ni swali lililonisumbua kwa kipini kirefu sana tangu litokee,huyu victor ambrose alikamatwa kwa kosa la kurusha bomu kwenye uzinduzi wa kanisa huko Olacity Arusha

ni kwa nini aliamua kufanya vile je alitumwa na nani maana tukio lile si dogo mpaka jumuia ya kimataifa imelisikia na limewastua
kuhusishwa kwa ugaidi na tukio hili je lengo ni nini na ugaidi huu ulikua kwa ufadhili wa nchi au taasisis gani ni alshabab au alqaeda maana nimekua nasuburi maswali haya yajibiwe na serikali yangu but kimya

Nani mwenye ufafanuzi wa kina maana JF hakuna kinachokosekana

===
Soma After Arusha Bombing Is NOT Time for TZ to Adopt CCTV Culture?
 
Embu wana jamii tujiulize huyu mtu ni nani ?? Ana elimu gani ? Historia ya familia yake ikoje ? Marafiki zake ni wakina nani ? Ana mali kiasi gani na zimepatikanaje ? Je ameshawai kushtakiwa kwa kosa lolote la jinai au lingine lolote ? je ana historia yoyote ya kuwa mgomvi ?alikuwa akiwasiliana na watu gani kwenye simu au njia yoyote kwa muda wa miezi sita kabla ya tukio la bomu ? Je alikuwa anajihusisha na siasa ? Na kama alikuwa anajihusisha na siasa alikuwa ni mwanachama wa chama gani ?

Embu tujiulize alafu tumchambue huyu mtu.

karibuni.

Wewe mbona husomeki Kabisa. Nilidhani unamfahamu huyo VIctor Ambrose? Shit!
 
Mkuu mimi simfahamu kiundani ila kuna watu humu jukwaani watakuwa wanamfahamu , JF ni uwanja mpana sana usishangae data zake zikajulikana.
 
Hata kama wanamfahamu hawawezi kumuelezea kwa sababu hafanani na matarajio yao.
 
Wewe mbona husomeki Kabisa. Nilidhani unamfahamu huyo VIctor Ambrose? Shit!
.............mbona jamaa anaeleweka vizuri kuwa yupo curious kumfahamu huyo ambrose

Mkuu mimi simfahamu kiundani ila kuna watu humu jukwaani watakuwa wanamfahamu , JF ni uwanja mpana sana usishangae data zake zikajulikana.
......kweli tusubiri kidogo naona wanajkwaa wanakusanya data zaidi na kuzi-arrange vema!!!
 
Swali lake ni la msingi. Kama ni dereva wa boda boda kwa Mrombo si kuna watu wanamfahamu ? madereva wenzake, wateja wake, ndugu zake, majirani, wanafunzi wenzake n.k Mbona hamna hata mmoja ameongea cho chote kuhusu huyo mtu? Kama sio jan feki, basi huyo mtu hayupo, ni uongo tu wa serikali hii ya CCM
 
Embu wana jamii tujiulize huyu mtu ni nani ?? Ana elimu gani ? Historia ya familia yake ikoje ? Marafiki zake ni wakina nani ? Ana mali kiasi gani na zimepatikanaje ? Je ameshawai kushtakiwa kwa kosa lolote la jinai au lingine lolote ? je ana historia yoyote ya kuwa mgomvi ?alikuwa akiwasiliana na watu gani kwenye simu au njia yoyote kwa muda wa miezi sita kabla ya tukio la bomu ? Je alikuwa anajihusisha na siasa ? Na kama alikuwa anajihusisha na siasa alikuwa ni mwanachama wa chama gani ?

Embu tujiulize alafu tumchambue huyu mtu.

karibuni.

Victor Ambros is an American developmental biologist who discovered the first known microRNA (miRNA). He is a professor at the University of Massachusetts ... Victor Ambros - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Mkuu tafadhali weka utani pembeni , watu wengine tunataka kumjua huyu mtu ni nani wewe unaleta utani ? Sio lazima uchangie kila post ,unaweza ukakaa pembeni na ukawa msomaji tu.
 
Mkuu bucho Victor Ambrose is simply dereva wa boda boda asikuwa na uhakika wa mlo wa kesho kapewa dili na wasaudia kwa malipo manono kafanyiza.Magaidi ni hawa wasaudia waliopanga na kufanikisha mipango ya ugaidi. Serekali inalitumia jina la Victor si kwa bahati mbaya bali kujaribu kuondoa fikra na dhana kwamba waliofanya ugaidi ni waislamu. Utashanga pale majina ya wasaudia watakapotajwa Ustadhi Thomas Al ......

Embu wana jamii tujiulize huyu mtu ni nani ?? Ana elimu gani ? Historia ya familia yake ikoje ? Marafiki zake ni wakina nani ? Ana mali kiasi gani na zimepatikanaje ? Je ameshawai kushtakiwa kwa kosa lolote la jinai au lingine lolote ? je ana historia yoyote ya kuwa mgomvi ?alikuwa akiwasiliana na watu gani kwenye simu au njia yoyote kwa muda wa miezi sita kabla ya tukio la bomu ? Je alikuwa anajihusisha na siasa ? Na kama alikuwa anajihusisha na siasa alikuwa ni mwanachama wa chama gani ?

Embu tujiulize alafu tumchambue huyu mtu.

karibuni.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu bucho Victor Ambrose is simply dereva wa boda boda asikuwa na uhakika wa mlo wa kesho kapewa dili na wasaudia kwa malipo manono kafanyiza.Magaidi ni hawa wasaudia waliopanga na kufanikisha mipango ya ugaidi.Serekali inalitumia jina la Victor si kwa bahati mbaya bali kujaribu kuondoa fikra na dhana kwamba waliofanya ugaidi ni waislamu.Utashanga pale majina ya wasaudia watakapotajwa Ustadhi Thomas Al ......

well said dude itabidi kuchunguza zaidi kama hayo ni majina yake ya kuzaliwa..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu bucho Victor Ambrose is simply dereva wa boda boda asikuwa na uhakika wa mlo wa kesho kapewa dili na wasaudia kwa malipo manono kafanyiza.Magaidi ni hawa wasaudia waliopanga na kufanikisha mipango ya ugaidi.Serekali inalitumia jina la Victor si kwa bahati mbaya bali kujaribu kuondoa fikra na dhana kwamba waliofanya ugaidi ni waislamu.Utashanga pale majina ya wasaudia watakapotajwa Ustadhi Thomas Al ......

Mkuu Ngongo nakubaliana sana wewe ila najiuliza sana haiwezekani wasaudia wakatoka huko kwao na kumnyooke yeye peke yake na kumpa dili hiyo bila kumfahamu . Ndio maana tunataka kuifahamu historia ya maisha yake kwanza na labda itatupa mwanga wa kuanzia.
 
Last edited by a moderator:
Si mkristo mtupa mabomu mwenye uzoefu wa kukimbia na pikipiki.Mengine mulize Padri wa kanisa la Olasit atakupa maelezo mengine tatizo lililopo ndani ya kanisa lao.Hadi Ambrose akapandwa na hasira ya kufanya hayo
 
Mkuu wingu inaelekea una data kuhusu huyu mtu pamoja matatizo yaliopo hapo kanisani , kwanini usifunguke zaidi labda tunaweza kupata chochote kuhusu huyu mtu.
 
bila huyo victa ambrose hali ingekuwa mbaya kati ya uislam na ukristu......nakumbuka mwaka 2008/2009 mchoma makanisa zanziba alikamatwa alikuwa akitwa Petro vyombo vingi vilikaa kimya maana tulitegemea angekamwata mtu kwa jina kama muhhamed shaha,maulid uthman omar.......kwa kifupi matukio kama haya yanahitaji uchunguzi wa hali ya juu naw watu wakikamatwa wanapaswa kuadabishwa bila kujali dini hata nyadhifa zao
 
Mkuu tafadhali weka utani pembeni , watu wengine tunataka kumjua huyu mtu ni nani wewe unaleta utani ? Sio lazima uchangie kila post ,unaweza ukakaa pembeni na ukawa msomaji tu.

Mkuu bucho, mimi namuunga mkono Watu, nina mashaka kama jina la Victor Ambrose lilitumika kwa makusudi maalum, aidha na wale waliomtuma kutekeleza hujuma hiyo au wale waliotoa taarifa ya kukamatwa kwake, sio rahisi mtu kwa na majina mawili tu bila kuwa na jina la ukoo.
 
Last edited by a moderator:
ndugu Bucho swali lako ni la msingi sana ila sijaona mwenye majibu zaidi ya kutoa maoni yaliyo nje ya majibu. Tusubiri labda atatokea mwenye kumfahamu atujuze kidogo. Lkn baadhi ya maswali yako ni ya ki upelelezi zaidi.
 
Back
Top Bottom