Victor Ambrose ni nani ????

Victor Ambrose ni nani ????

ndugu Bucho swali lako ni la msingi sana ila sijaona mwenye majibu zaidi ya kutoa maoni yaliyo nje ya majibu. Tusubiri labda atatokea mwenye kumfahamu atujuze kidogo. Lkn baadhi ya maswali yako ni ya ki upelelezi zaidi.

Mkuu masuo maswali ya kiuchingizi ndio yatafumua ukweli wa huyu mtu . Wapo watu wanamjua huyu mtu kwa namna moja au nyingine . Ngoja tusubiri watakuja tu .
 
Hayo majina yakutunga. These people got to be serious. Time is of the essence.
 
Bila shaka kama haijulikani nduguze ni kina nani, kazaliwa wapi, kasoma na nani na kwao wapi then haya majina ni ya kutunga na usishangae ikawa kama ile ya ulimboka. Ni bahati mbaya sana hatuna independent investigators ambao wanaweza ku-prove otherwise, na pale unapokuwa na single source of information ni rahisi kuingia chaka!
hayo majina yakutunga. These people got to be serious. Time is of the essence.
 
Victor Ambarose ni kijana wa miaka 20 ni dereva wa bodaboda amelelewa na bibi yake Arusha baada ya kufiwa na wazazi wake. Siku ya tukio ndiye alyempakia mtuhumiwa kwenye bodaboda yake na mtuhumiwa alishuka bila kulipa baada ya muda kidogo mlipuko ukasikika.
Hope kwa ufupi umeelawa kuhusu Victor
 
victor ambarose ni kijana wa miaka 20 ni dereva wa bodaboda amelelewa na bb yake arusha baada ya kufiwa na wazaz wake.cku ya 2kio ndiye alyempakia m2humiwa kwenye bodaboda yake na m2humiwa alshuka bla kulpa baada ya mda kdogo mlpuko ukacka.hop kwa ufup umeelawa abt victor

Haya maelezo hayajitoshelezi mkuu.
 
Bila shaka kama haijulikani nduguze ni kina nani, kazaliwa wapi, kasoma na nani na kwao wapi then haya majina ni ya kutunga na usishangae ikawa kama ile ya ulimboka. Ni bahati mbaya sana hatuna independent investigators ambao wanaweza ku-prove otherwise, na pale unapokuwa na single source of information ni rahisi kuingia
chaka!

Ni kweli mkuu . Kutegemea source moja ni rahisi hata ukweli kufichwa . Ila .naona FBI wameshirikishwa labda tusubirie wanaweza wakaja na jibu.
 
Wanajamvi hili ni swali lililonisumbua kwa kipini kirefu sana tangu litokee,huyu victor ambrose alikamatwa kwa kosa la kurusha bomu kwenye uzinduzi wa kanisa huko Olacity Arusha

ni kwa nini aliamua kufanya vile je alitumwa na nani maana tukio lile si dogo mpaka jumuia ya kimataifa imelisikia na limewastua
kuhusishwa kwa ugaidi na tukio hili je lengo ni nini na ugaidi huu ulikua kwa ufadhili wa nchi au taasisis gani ni alshabab au alqaeda maana nimekua nasuburi maswali haya yajibiwe na serikali yangu but kimya

Nani mwenye ufafanuzi wa kina maana JF hakuna kinachokosekana
 
Tutazidi kusuburi kutoka JF,kumbe ALIMPAKIA MTUHUMIWA....DAH..yule halisi...Mhhh..anawezaje kumjua aliempakia?
 
Back
Top Bottom