Utakuta amejiunga kwenye vicoba vitatu. Wakati uwezo wake ni kulipia kikoba kimoja tu. Hapo ujue anao wawili..kila mmoja analipa kikoba kimoja. Mwisho wa mwezi ukifika mapenzi yanaongezeka...ili ulipie kikoba.
Niliwahi kulipia kikoba ila ninachoshindwa kujua wakati unakopa ulizitumia na nani? Kwa nini nilipe deni la fedha ambazo sikunufaika nazo? Je mie madeni yangu nani atanilipia? Nikaona haya ni matumizi mabaya ya pesa nayoipata kwa jasho. Nikapiga chini!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.