Hizi sentensi tata zitawapandisha watu presha!
Ninahisi tunavuka mipaka tunaopoanza kuanika mambo binafsi ambayo yanamshushia utu na heshima muhusika isipokuwa pale mambo hayo yanapoonekana yanahujumu haki za wengine na yenye mueleko wa jinai na ufisadi.
Iliwahi kuandikwa thread hapa juu ya huyu dada: https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/32042-vicky-kamataa-dada-mwenye-nyekundu.html lakini haikujadiliwa sana.
Kuna news za kusikitisha kiasi fualani, nilisikia hapa kwetu Magomeni Manda Street. Stori ilikuwa ndeefu, lakini jina la V.K lilikuwa kama main character. Kwa ufupi simfahamu hata kwa sura, na wadhifa wake ndani ya nchi hii, lakini ndani ya stori wasifu wake ulikuwa mzito kupita maelezo.
Presha ishapanda zamani sana.
Inasemekana kwamba kusweka lupango kwa Liyumba kuna connection na V.K, ufisadi umetumika kama mwamvuli tuuu.
Heshima mbele!
Sidhani kama kuna ukweli hapo, maana Vicky kama huwa hana hiyana kitu kama anacho lazima akitumie.....list ni ndefu basi hata Mh Gachuma naye lazima aende ndani maana ametumia sana! Washikaji kibao wa UK hasa wa Southampton itabidi wasirudi Tanzania maana watafikia Keko! JK ndiye aliyekuwa anamlipia ada UK kwa kumwamuru Prof Ndulu amalize hilo, na mzee JK kila ajapo UK lazima VK akapumzike naye! Na VK ameuahidi lazima atakuwa mbuge wa kuteuliwa 2010...yetu macho K yake anajua kuitumia...
Unajua mkuu, kuna vijihabari kuwa mkuu wa kaya na Liyumba wana bifu la maluv juu ya huyo V.K, na baada ya kutambiana kwa muda mrefu, mwenye nguvu aka-order Liyumba asweke lupango.Huyu Jews4ever anajua mengi na nimeipenda approach yake hehehe!!
Sidhani kama kuna ukweli hapo, maana Vicky kama huwa hana hiyana kitu kama anacho lazima akitumie
Hii kali......list ni ndefu basi hata Mh Gachuma naye lazima aende ndani maana ametumia sana! Washikaji kibao wa UK hasa wa Southampton itabidi wasirudi Tanzania maana watafikia Keko! JK ndiye aliyekuwa anamlipia ada UK kwa kumwamuru Prof Ndulu amalize hilo, na mzee JK kila ajapo UK lazima VK akapumzike naye! Na VK ameuahidi lazima atakuwa mbuge wa kuteuliwa 2010...yetu macho K yake anajua kuitumia...