Vicky Kamata Anastahili Pongezi! Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!

Huu niupuuzi wa ccm labda ww humjui huyu vick ss wa mwanza tunamjua vizuli sana toka bado akiwa anasomabuku hakuna jipya apo nimaigizo tu
 
Hakuna chamaana alicho wai kusema au ambacho amesema toka ameenda gungeni .. Lada ww mshabiki wake kwasababu nimwanamke mlembo lada ndilo linalokuvutia kwake..lkn kuusu siasa hakuna kituhapo
 
Ilikuwa kipindi hicho. Siku hizi watu wanaambiwa pumbavu wanafurahia tu.

Huko bungeni haweleki wameshiba ama wana njaa. Wakiulizwa kote wanatoa majibu ya ndiyo.
 
Miongoni mwa wanautaka usipika, kuna watu hawafai kabisa, Ndugai ana afadhali!. CCM wakilogwa na kumpa mtu kama huyu, kiukweli Bunge letu litakuwa ni majanga!.

Tunataka Spika Bora, mtu mnyanyasaji wa wanawake kama huyu, hawezi kutupatia Spika Bora!.
P
 

Kampeni zimeanza ngosha?
 
No sio kampeni, ni kuonyeshea matundu, tusije kuwachagua watu wa hovyo kuwa Spika wetu, huyu atakuwa ni Bora Spika, tunataka Spika Bora !.
P

Wale wote ni zao la CCM, hivyo yoyote atayepita ataendana na ilani ya chama tena ukichukulia bunge ni lao...

Pia huwa sioni kama kwa nchi yetu, speaker ana influence yoyote kwa nchi, huwa wapo kama ma class monitor tu...
 
Those days of Paskali, the legend.

These days we have Pascal.
 
Kwa kifupi ni huyu jamaa hafai, hafai, hafai kabisa !.
P
Huyu jamaa siku akiwa mwenyekiti wa vikao vya bunge hua hafuati kanuni bali hutaka kuonyesha ubabe wa kijinga kwamba mwenyekiti/spika/naibu spika hakosolewi

Kiuhalisia Zungu hana uwezo kiutendaji na kimaadili wa kua spika na hilo analificha kwa kufanya ubabe

Nakuunga mkono kwa hili Pascal
 
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani wakiwemo wanawake hawa!.
P.
 
Kumbuka Vicky amekuwa mbunge kwq kipindi cha kutosha, ana kipaji cha uimbaji, ana kampuni zake na biashara zake ambazo anaendesha.
Naunga mkono hoja, Vicky ni Mwanamke wa shoka na hapendi manyanyaso wala maonevu kama nilivyo wahi shuhudia Vicky Kamata Anastahili Pongezi!, Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!

Hivyo hata hili atasimama nalo kidete!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…