baada ya ndoa yake kuharishwa ghafla siku mbili kabla ya harusi, Mbunge wa viti maalum(ccm) Mh vicky kamata ,,ametoa wimbo wake mpya kuwatumia ujumbe wale wote walioshangalia ndoa yake kuhairishwa
akizungumza na redio clouds, Mh vicky amesema kuwa ameamua kutunga wimbo kuwapa ujumbe mabinti wenzake ambao hawajaolewa
Akijibu swali la mtangazaji kuhusu mipango yake ya badaye kuhusu ndoa, Mh amesema kwa sasa wale waliokuwa wanamipango ya kumchumbia wampe muda kidogo ili alee familie yake na kusimamia foundation yake.
My take:vijana tujitokeze tukamuondolee aibu mh kwani amechanganyikiwa sana,
jamaa noma,amempiga sound ya kumwoa mbunge mzima,alipokula katambaa zake
jamani msimseme inyo vick ni jambo la kumhurumia ukiusikia huo wimbo kweli unaweza toa machozi,,,,after all nani msafi kila mtu ni mchafu tu sema vicky kwa kuwa ni mtu maarufu ndo imekuwa nongwa....tukianza kuwachambua hata viongozi wenu hapa nani atapona......mumuache ara miaka 800 janaume tapeli basi na lilaaniwe!
Vicky huku kwenye Ndoa hakuna Jipya ! Mungu amekujaaliwa Watoto hapo ulipo Bora uishie peke yako ni Mastress Matupu , Walume wengi wa Kibongo Hovyooooo sana ! Watu wanaishi tu kwa status! Basiiii we hushangai wake wengi wa watu wanatafunwa huko Nje ! Ujue Ndani Moto hizo Korodani unazionea kwenye suruali wanaonyeshwa wengineeee Kutwa mnashindana na Michepuko ! Mpaka Ndude zao zinakonda wakati Mtu kakuoa ikiwa nene ya kukutosheleza :behindsofa:
Mpaka amteuliwa ubunge viti maalumu hayajui hayo!basi anauelewa mdogo sana!
poleni sana wenye ndoa chungu....ila msigeneralize nyingine asali tupu.
poleni sana wenye ndoa chungu....ila msigeneralize nyingine asali tupu.
Yale yale ya Jay dee ndo shida ya kuoa wanawake wanamziki... mkikorofishana kidogo tu unaimbwa
Vicky huku kwenye Ndoa hakuna Jipya ! Mungu amekujaaliwa Watoto hapo ulipo Bora uishie peke yako ni Mastress Matupu , Walume wengi wa Kibongo Hovyooooo sana ! Watu wanaishi tu kwa status! Basiiii we hushangai wake wengi wa watu wanatafunwa huko Nje ! Ujue Ndani Moto hizo Korodani unazionea kwenye suruali wanaonyeshwa wengineeee Kutwa mnashindana na Michepuko ! Mpaka Ndude zao zinakonda wakati Mtu kakuoa ikiwa nene ya kukutosheleza :behindsofa:
Shoga sina Ndoa chungu ila nyakati kama hizi tunapaswa kumpa Moyo Mwanamke Mwenzetu ! Si dhambi kutoolewa na wala si Ujanja Kuolewa na si Ubingwa kuwa na Ndoa Asali na si Ubwege kuwa na Ndoa Ngumu ....Ni Maisha tu