sijui hizo earphone kubwa ila za kawaida unabadilisha, vichwa vinauzwa kwenye maduka ya vifaa vya umeme mimi niliwahi kubadili yangu
unanunua kitu kama hiki
then unafunga kama hivi
hio ni njia ya kawaida ambayo ni earphone basic. earphone nyengine zinakuwa na njia 4 ambayoni kwa ajili ya mic, zipo pia nyengine zinakuwa na njia nne kwa ajili ya video
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.