Hahahahahha unamaanisha genius na comedianAlbert Einstein na Charlie Chaplin katika picha moja!
Usiniulize kwanini?
Mmoja ni MCHUMI na mwingine ni Mwanasheria NGuli - Hizi mbili ni machine nzito hata baba Jeska analijua hilo.Wanasheria wasomi ndio hao
Wewe ni mchumia kidevu au makalio?Wote hao ni Wachumia tumbo
Zito nae ni lawyer?Wanasheria wasomi ndio hao
Ahhaahhahahahahaaaa huyo mwenzie le mutuz aka kibamiaMbona mmemsahau makonda???
Bullshit!Albert Einstein na Charlie Chaplin katika picha moja!
Usiniulize kwanini?