Vichwa vya habari magazeti ya kesho

MUGASHA THE HERO

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
327
204
Tanzania Daima: Lissu awafundisha sheria mawakili wa serikali.

NIPASHE: Kibatala tishio, mawakili wa serikali wamgwaya.

MWANANCHI: Nchi yasimama kusikiliza kesi ya Tundu Lissu

MTANZANIA: Lissu ni noma, apangua hoja za serikali, hakimu amkubali.

Je! Gazeti la UHURU litaandika nini? Wadau tubashiri.
 
Tanzania Daima: Lissu Awafundisha Sheria Mawakili Wa Serikali.

NIPASHE: Kibatala Tishio, Mawakili Wa Serikali Wamgwaya.

MWANANCHI:Nchi Yasimama Kusikiliza Kesi Ya Tundu Lissu

MTANZANIA: Lissu Ni Noma, Apangua Hoja Za Serikali, Hakimu Amkubali.

Je! Gazeti la UHURU litaandika nin? Wadau tubashiri.
UHURU: Wanasheria wa Serikali wamfundisha kazi Lissu....aomba yaishe.
 
Tanzania Daima: Lissu Awafundisha Sheria Mawakili Wa Serikali.

NIPASHE: Kibatala Tishio, Mawakili Wa Serikali Wamgwaya.

MWANANCHI:Nchi Yasimama Kusikiliza Kesi Ya Tundu Lissu

MTANZANIA: Lissu Ni Noma, Apangua Hoja Za Serikali, Hakimu Amkubali.

Je! Gazeti la UHURU litaandika nin? Wadau tubashiri.
Ndicho mnachowaza kutengeneza vichwa vya habari kila siku
Fanyeni kazi wana UKUTA
 
Ningekuwa media house kichwa cha gazeti langu kingekuwa "Lissu awasambaratisha polisi mahakamani" Fikiria polisi walijandaa masaa zaidi ya 24 kujiandaa yeye akatumia saa moja kusambaratisha hoja zao
 
Back
Top Bottom