Elections 2010 Vichwa vya habari 11/01/2010

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
376
CCM itakapoangushwa 10/31/2010 unafikiri kesho yake kutakuwa na vichwa gani vya habari kwenye magazeti yetu?

1. HISTORY MADE.
2. KWAHERI MAFISADI.
3 KIKWETE KUKATA RUFAA.
3. MH. RAIS DR. SLAA
4. AMIRI JESHI MKUU DR. SLAA
5. SIKU YA UKOMBOZI
6. WAGENI WASIFU UCHAGUZI HURU NA HAKI.
7. RAIS KIBAKI AMPONGEZA DR. SLAA.
8. NDOTO YA UPINZANI YATIMIA
 
ccm itakapoangushwa 10/31/2010 unafikiri kesho yake kutakuwa na vichwa gani vya habari kwenye magazeti yetu?

1. History made.
2. Kwaheri mafisadi.
3 kikwete kukata rufaa.
3. Mh. Rais dr. Slaa
4. Amiri jeshi mkuu dr. Slaa
5. Siku ya ukombozi
6. Wageni wasifu uchaguzi huru na haki.
7. Rais kibaki ampongeza dr. Slaa.
8. Ndoto ya upinzani yatimia

9. Ni kikwete tena, apata 75%, kuapishwa kesho.
10. Slaa akubali kushindwa, ampongeza na kumwomba radhi jk.
11. Ccm washinda kiulaiini,.. Ilitarajiwa.
 
CCM itakapoangushwa 10/31/2010 unafikiri kesho yake kutakuwa na vichwa gani vya habari kwenye magazeti yetu?

1. HISTORY MADE.
2. KWAHERI MAFISADI.
3 KIKWETE KUKATA RUFAA.
3. MH. RAIS DR. SLAA
4. AMIRI JESHI MKUU DR. SLAA
5. SIKU YA UKOMBOZI
6. WAGENI WASIFU UCHAGUZI HURU NA HAKI.
7. RAIS KIBAKI AMPONGEZA DR. SLAA.
8. NDOTO YA UPINZANI YATIMIA

9. Change has come
 
Vichwa vingine vya habari jumatatu ijayo! 1. Hatimaye utabiri wa mwalimu nyerere watimia. 2. Wazalendo washika usukani. 3. Ngawaiya afungasha vilago,kuamia Iran. 4. Siku 100 za kwanza za dr.,Obama asema: 'dr. afanya kweli Bongo' 5. Mnyika kuwa Waziri wa mambo ya nje. 6. Jeykey akubali matokeo 7. HabariLEO kufutwa rasmi. 8. Tanzania iko huru sasa 9. Mafisadi 11 wakamatwa jijini dar wakitoroka. 10. Elimu,afya bure,sasa madini kunufaisha waTZ 11. JF Kufanya party mtandaoni.
 
Natamani siku hiyo nisisikilize chombo chochote cha habari kwani naweza kukivunja either ka hasira au furaha
 
Sasa hivi wanahaha.
 
Natamani siku hiyo nisisikilize chombo chochote cha habari kwani naweza kukivunja either ka hasira au furaha

Utakivunja kwa hasira za kushindwa...... Mungu aepushe usijiumize bure kutokana na maamuzi ya wa tz.
 
Lipumba ashinda kwa asilimia 51.
Mamilioni ya kura yamuangukia Lipumba
Lipumba kuapishwa usiku
Lipumba kutangaza Baraza la Mawaziri.
 
Uongo mbaya nilimsikiliza Lipumba leo jioni. Jamaa kamkomalia JK bwana. kamwaga data ka nini. Ingawa mm sio wa CUF lakini nimekubaliana naye. Big up
 
Vichwa vingine vya habari.
Mzarau Mwiba Mguu..................alidharau wapinzani.
JK akimbilia mafichoni na matokeo rasmi kutangazwa jioni ya leo.
Bajaj yaangusha Tinga tinga
Daudi Vs Goliath
 
Hatimaye Nguvu ya Umma wa Watanzania yaonekana.
Kikwete aanguka ghafla...yupo mahututi,rais mteule Dr.Slaa aenda kumtembelea.
Prof.Lipumba ampongeza Dr.Slaa,asema yupo tayari kushirikiana naye ktk nyanja za kiuchumi.
 
Lipumba ashinda kwa asilimia 51.
Mamilioni ya kura yamuangukia Lipumba
Lipumba kuapishwa usiku
Lipumba kutangaza Baraza la Mawaziri.

duh! ivi kumbe kuna watu wanawenda hatua moja mbele na kurudu hatua moja nyuma na kujipongeza
 
ccm itakapoangushwa 10/31/2010 unafikiri kesho yake kutakuwa na vichwa gani vya habari kwenye magazeti yetu?

1. History made.
2. Kwaheri mafisadi.
3 kikwete kukata rufaa.
3. Mh. Rais dr. Slaa
4. Amiri jeshi mkuu dr. Slaa
5. Siku ya ukombozi
6. Wageni wasifu uchaguzi huru na haki.
7. Rais obama ampongeza dr. Slaa.
8. Ndoto ya upinzani yatimia
jacob zuma,mugabe,sarkoz,medvedev,museveni,
 
Jamani tusubiri kipenga cha mwisho, kuna vichwa vingine vya habari haviaandikwa hapa. CCM yakataa matokeo, Jeshi latishia raia, wapiga kura wanyimwa haki ya kupiga kura n.k.,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom