Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,577 Nov 30, 2018 #1 Vichwa panzi tukutane apa. Tupeane majibu kwa lolote litakalo ulizwa bila kujali. Vichwa panzi tutakua tukichat short short and clear Uzi Tayari.
Vichwa panzi tukutane apa. Tupeane majibu kwa lolote litakalo ulizwa bila kujali. Vichwa panzi tutakua tukichat short short and clear Uzi Tayari.
kibo na mawenzi Member Joined Aug 25, 2018 Posts 84 Reaction score 72 Nov 30, 2018 #2 Nini maana ya kuamberruty?
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,577 Nov 30, 2018 Thread starter #3 kibo na mawenzi said: Nini maana ya kuamberruty? Click to expand... Itakua kumra mtu tigo, yani kumfanya mtu kinyume na maumbilee Itakua ivo nadhan
kibo na mawenzi said: Nini maana ya kuamberruty? Click to expand... Itakua kumra mtu tigo, yani kumfanya mtu kinyume na maumbilee Itakua ivo nadhan
Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,569 Reaction score 10,527 Nov 30, 2018 #4 Pembe za Panzi, unaitwa huku.... Uzi wenu umezinduliwa
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,220 Reaction score 39,851 Nov 30, 2018 #5 Ikifika saa sita mnshtue mi nalala
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,577 Nov 30, 2018 Thread starter #6 Haaaaa! Weka alarm bwana wew..... Acha hzo baba swalehe said: Ikifika saa sita mnshtue mi nalala Click to expand...
Haaaaa! Weka alarm bwana wew..... Acha hzo baba swalehe said: Ikifika saa sita mnshtue mi nalala Click to expand...
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,220 Reaction score 39,851 Nov 30, 2018 #7 michael parker said: Haaaaa! Weka alarm bwana wew..... Acha hzo Click to expand... Mwanaume kutega alarm ni umama Mwanaume unatega bomu likilipuka ndo unashtuka
michael parker said: Haaaaa! Weka alarm bwana wew..... Acha hzo Click to expand... Mwanaume kutega alarm ni umama Mwanaume unatega bomu likilipuka ndo unashtuka
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,577 Nov 30, 2018 Thread starter #8 Hapo mm nadhan.. Unakufa baba swalehe said: Mwanaume kutega alarm ni umama Mwanaume unatega bomu likilipuka ndo unashtuka Click to expand...
Hapo mm nadhan.. Unakufa baba swalehe said: Mwanaume kutega alarm ni umama Mwanaume unatega bomu likilipuka ndo unashtuka Click to expand...
Sir Khan JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 5,776 Reaction score 11,645 Nov 30, 2018 #9 Eti "uzi tayari" Haya bwana usiku mwema vichwa panzi.
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,220 Reaction score 39,851 Nov 30, 2018 #10 michael parker said: Hapo mm nadhan.. Unakufa Click to expand... Kufa kawaida hii koment inatoka kuzimu satan kaniazma simu ndo nmelog in
michael parker said: Hapo mm nadhan.. Unakufa Click to expand... Kufa kawaida hii koment inatoka kuzimu satan kaniazma simu ndo nmelog in
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,577 Nov 30, 2018 Thread starter #11 baba swalehe said: Kufa kawaida hii koment inatoka kuzimu satan kaniazma simu ndo nmelog in Click to expand... Yaishe,,,, hapo naomba yaishe.
baba swalehe said: Kufa kawaida hii koment inatoka kuzimu satan kaniazma simu ndo nmelog in Click to expand... Yaishe,,,, hapo naomba yaishe.
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,577 Nov 30, 2018 Thread starter #12 Sir Khan said: Eti "uzi tayari" Haya bwana usiku mwema vichwa panzi. Click to expand... Vichwa panz, kumekucha nadhan...
Sir Khan said: Eti "uzi tayari" Haya bwana usiku mwema vichwa panzi. Click to expand... Vichwa panz, kumekucha nadhan...
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,003 Nov 30, 2018 #13 vichwa panzi ni kina nani? na requirement mpaka uwe kichwa panzi ni zipi?
Yamakagashi JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 8,613 Reaction score 17,638 Nov 30, 2018 #14 Teh teh haya ngoja tuwe tunafarijiana maana kuna majukwaa humu ukitia mguu unaishia kuambiwa shule ulienda kusomea ujinga
Teh teh haya ngoja tuwe tunafarijiana maana kuna majukwaa humu ukitia mguu unaishia kuambiwa shule ulienda kusomea ujinga
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,003 Nov 30, 2018 #15 vichwa panzi mna mkakati gani kuwashinda makupuku forum?
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,577 Nov 30, 2018 Thread starter #16 BOB OS said: vichwa panzi ni kina nani? na requirement mpaka uwe kichwa panzi ni zipi? Click to expand... Ukiona kuna majukwaa wanakutenga tenga, hawakusikilz vizurii Wanajifanya wana yao. We njoo huku kwa vichwa panzi
BOB OS said: vichwa panzi ni kina nani? na requirement mpaka uwe kichwa panzi ni zipi? Click to expand... Ukiona kuna majukwaa wanakutenga tenga, hawakusikilz vizurii Wanajifanya wana yao. We njoo huku kwa vichwa panzi
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,577 Nov 30, 2018 Thread starter #17 BOB OS said: vichwa panzi mna mkakati gani kuwashinda makupuku forum? Click to expand... Hao makapuku hawana hera, umasikin umejaaa nadhan Ila huku vichwa panzi maisha ni safii tu hela iwepo nying au ikwishe sawa tuu
BOB OS said: vichwa panzi mna mkakati gani kuwashinda makupuku forum? Click to expand... Hao makapuku hawana hera, umasikin umejaaa nadhan Ila huku vichwa panzi maisha ni safii tu hela iwepo nying au ikwishe sawa tuu
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,003 Nov 30, 2018 #18 michael parker said: Ukiona kuna majukwaa wanakutenga tenga, hawakusikilz vizurii Wanajifanya wana yao. We njoo huku kwa vichwa panzi Click to expand... safi mkuu nimekaribia kuna jukwaa ukienda unakuta wanachati wenyewe kwa wenyewe
michael parker said: Ukiona kuna majukwaa wanakutenga tenga, hawakusikilz vizurii Wanajifanya wana yao. We njoo huku kwa vichwa panzi Click to expand... safi mkuu nimekaribia kuna jukwaa ukienda unakuta wanachati wenyewe kwa wenyewe
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,761 Reaction score 15,577 Nov 30, 2018 Thread starter #19 BOB OS said: safi mkuu nimekaribia kuna jukwaa ukienda unakuta wanachati wenyewe kwa wenyewe Click to expand... Kabisa mkuu, Huku uliza chocho tupeane majibu ndio kauri mbiu.
BOB OS said: safi mkuu nimekaribia kuna jukwaa ukienda unakuta wanachati wenyewe kwa wenyewe Click to expand... Kabisa mkuu, Huku uliza chocho tupeane majibu ndio kauri mbiu.
BOB OS JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 3,462 Reaction score 7,003 Nov 30, 2018 #20 michael parker said: Kabisa mkuu, Huku uliza chocho tupeane majibu ndio kauri mbiu. Click to expand... sawa mkuu ili ungeuandika huu kwa mwandiko wa muasisi na ndugu Mwenyekiti Kichwa panzi,rafiki yake dula angefurahi sana
michael parker said: Kabisa mkuu, Huku uliza chocho tupeane majibu ndio kauri mbiu. Click to expand... sawa mkuu ili ungeuandika huu kwa mwandiko wa muasisi na ndugu Mwenyekiti Kichwa panzi,rafiki yake dula angefurahi sana