Vichwa Muhimu Duniani.....

Mbona Mnamkashifu Rais wetu? Mtakula BAN

Badala ya kukaa na wasomi na Engineers kuhusu umeme una uchumi...angalia yeye yupo huku....kweli ndege wanaofanana huruka pamoja..
 
wote hapo ni freemason!
 

Steve jobs yuko juu sana ya bill gates katika technology. Ni kati ya watu wa mwanzo kabisa kupata tuzzo za heshima ya kitaifa nchini marekani ktk technology. Ni CEO bora kabisa for his generation. acha ubishi kama hujui kasome.
 


FF Sijakataa kuwa Bill Gate ni Mkali ila akili ya biashara ndo iliyomfikisha alipo coz Gary Kildal ndo alikuwa mkali zaidi yake soma hapa hapa chini

Gary Kildal - The man who could have become Bill Gates. | GHABUNTU
 
Jk kaa na vichwa vya kibongo ktk mlo wa japo usiku mmoja
 
Sipati picha angekuwa JK hapo......... naamini angeomba wamfungulie accounts za twitter, yahoo, etc na Kwa Steve Jobs angeeomba amtupie katoleo kamoja..............

angewauliza namna ya kupata GAMES katika izo programes/software zao,kama alivomuuliza yule mchina aliekuwa anamfundisha namna pilots wanavo operate ndege!
 
ama kweli Rais haeshimiwi humu ndani...
 
Hao ni wamarekani ... wapo hapo na rais wao.
Sasa hapa uite kichwa gani?..... Labda Slaa PhD ya ukweli.
Au mnataka akae na profesa Mlambiti? Aliyekuwa anakuja darasani kutusomea kitabu chake....
Au shivji?, may be ....... Mbowe?
 
Sipati picha angekuwa JK hapo......... naamini angeomba wamfungulie accounts za twitter, yahoo, etc na Kwa Steve Jobs angeeomba amtupie katoleo kamoja..............

Ni kweli kabisaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…