Vichomi wakati wa jogging

wingman7

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
340
70
Habar, naomben msaada wenu kwanini wakati nafanya jogging huwa napatwa na vichomi sehemu ya tumbo upande wa kulia au kushoto na kwenye kifua upande wa kulia tatizo ni nini???
 
usiwe unakula alaf unakimbia.pia usiwe unakunywa maji ndo unakimbia

hakikisha unakimbia baada ya kula km saa moja lililopita na kunywa maji kiasi kidogo
 
usiwe unakula alaf unakimbia.pia usiwe unakunywa maji ndo unakimbia

hakikisha unakimbia baada ya kula km saa moja lililopita na kunywa maji kiasi kidogo

Yah huwa nakula midaa ya saa nane lakini maji nakunywa glass moja kabla kutoka nyumbani kwenda jogging
 
Back
Top Bottom