Mbwiga Mbwinguke,
mkora nyani kibwaya
mkia, Midfield kisheti!
Nazitupa tu huku kule
halafu naziomba, ni
mchakamchaka tu, sako la nyani hilo
ngedere haponi.
Sasa
ngoja nikupe kosi hilo
kosi hatari la
wanajeshi wenye
roho mbaya, yaani kila ukiwaona wanahamu
wakichafue tu. Mwaka
1973 hiyo, wapi hiyo?
Ndani ya Mkwakwani
Stadium Tanga yani
unga robo chenji irudi! Si unajua kama
kawaida sisi
Wazaramo majina yetu
ni Shida , Majaliwa,
Matatizo, halafu
usipokuja kwenye ngoma ya mwanangu
na mimi msiba wa
babako siji….rusha
vocha nkumalizie
utamu wa Mbwiga wa
Mbwiguke mkora nyani kibwaya mkia.
Teh!teh!teh!.....hivi huyu jamaa na kitandani anakuwaga na mbwembwe hizo au ni kwenye mambo ya mpira tu!
Mbwiga Mbwinguke,
mkora nyani kibwaya
mkia, Midfield kisheti!
Nazitupa tu huku kule
halafu naziomba, ni
mchakamchaka tu, sako la nyani hilo
ngedere haponi.
Sasa
ngoja nikupe kosi hilo
kosi hatari la
wanajeshi wenye
roho mbaya, yaani kila ukiwaona wanahamu
wakichafue tu. Mwaka
1973 hiyo, wapi hiyo?
Ndani ya Mkwakwani
Stadium Tanga yani
unga robo chenji irudi! Si unajua kama
kawaida sisi
Wazaramo majina yetu
ni Shida , Majaliwa,
Matatizo, halafu
usipokuja kwenye ngoma ya mwanangu
na mimi msiba wa
babako siji .rusha
vocha nkumalizie
utamu wa Mbwiga wa
Mbwiguke mkora nyani kibwaya mkia.
Teh!teh!teh!.....hivi huyu jamaa na kitandani anakuwaga na mbwembwe hizo au ni kwenye mambo ya mpira tu!
nini hapa kinaendelea...?
Si umkaribishe kitandani kwako akimaliza uje utujuze kama anazo au la??? Tutajuaje sisi??