Vichaka Vyenu Vinakatisha Mud bwana,

Vichaka Vyenu Vinakatisha Mud bwana,

Bora umesema...Ila hapa ni kuelimishana... wa namna hiyo huwa wanakera kwa kweli..Ukute sasa mi sha.....wa imetoka ikajipakaza mmmmhhh inatia kinyaa... Halafu zile na mijasho ni uchafuu....

Mwingine ukiwa hutaki kumkosoa unamwambia kiustaarabu umnyoe hataki basi balaaaaa...

Wapo wanaume wachafu jamani dah....japo si wote...

Halafu zivu na zivu zatofautiana...Kuna zile za kipilipili dahhh utafikiri nziii vinatishaa...ahhh jitahidini kusafisha

Ahsante Morg kuwakilisha ujumbe huu
Mwanamke msafi huwa na mwanamme msafi..period..kama wewe ni mchafu utakuwa na wachafu wenzako..
 
Nyoko zako mtajiju kama mmezalishwa na kuachwa ha ha ha mie mtoto chuchu saa 6 ziwa konzi.
Sema jingine umeona thread zake.

Nitake radhi,nani kazalishwa?mimi nazalisha. Alafu umesemaje?chuchu sa 6?wenye nazo huwa hawasemi,,mh!najua hapa jf unaweza kusema chochote,chuchu sa 6,mrefu,umejaaliwa nyuma,mzuri,nk ila mtu akikutana nawe live anaweza kutamani ayeyuke au azirai.jipe promo tu.
 
jamani..! Sie wa uswazi tuna shida eeeh!, hadi kunyoa yabidi "jf alarm"...lols
Sisi wengine tuna uzoefu wa kula kuanzia watoto wa uswazi huku kwetu, mpaka masistaduu, na watoto wife material tunajua tofauti so hatuwezi kuja hapa kugeneralized..au hata kuanzisha hizi mada...mtu kama una poor exposure ndo vitu ka hivi vinakuwa ishu..
 
Natanguliza samahani kwa wale ambao nitakuwa nimewakwaza jana,lakini ndugu zangu,Tupo kwajili ya kufahamishana tu sio ugomvi wala kashfa,kwani najua mtu akishajua mapungufu yake anajua jinsi ya kutafuta suluhisho.

Nawaheshimu sana kaka zangu,baba zangu,wadogo zangu wote humu JF,Tusambaze upendo.MBARIKIWE.

Back to our main issue:

Jamani jamani jamani,tuko faragha, mwanaume unataka upewe raha zote za dunia,na faragha ni sehemu tofauti na sehemu yoyote,nahitaji watu kujiacha na kujimwaga kwa kila aina lakini kumbe sehemu nyingine majanga hata kuisogelea unawaza na mud inatoka.Unakuta ndugu honey kafuga msitu mkubwa wa kuka chatu na wajukuu zake,

Wanaume kwanini mnakuwaga wavivu wa kusafisha mazingira ya bwana mkuu?(kunyoa mazivu) unataka kumlisha mwenzio majani na taka taka nyingine jamani kweli?

Eti cha ajabu mnakumbuka kutoa ndevu na nywele kila baada ya siku kadhaa lakini zivu na makwapa,ni vichaka vya hatari.

Tunajua mnakuwa busy na majukumu, tunajua mnapitiwa,wewe uliyeoa mkumbushe basi mkeo akusaidie maana si wake wote wanajua wajibu wao,

Wewe unayejiita bachela,jitahidi kuweka hata ratiba au maandishi ukutani ukumbuke kujinyoa sio mnakuja kutulalamikia hapa,eti demu gani hajui mapenzi,hajui kunyonya, anyonye miuchafu hiyo?

Najua mtarudisha kibao kwa wanawake pia mkumbuke nyie mmezidi tena ukutane na mwanaume hata kapafyumu hakajui,saaalaaaleeee boxer uvundo uvundooo.
Kwakweli inasikitisha

JITAHIDINI USAFIIII BWANA

Mbona wanawake wa makabila ya waswana, Waswazi na makabila kadhaa ya kusini mwa Afrika hawanyoi wanaume hawalalamiki?
 
Inaweza kuwa jamaa aliyezalisha kachoka kwa mambo kama haya...mkuu embu assume ndo demu wako..24/7 anawaza viungo volivyopo kwenye perinium tu anawaza ngono tu..kuna wanaume wanabahati mbaya sana kwenye maisha..wanakutana na watu wenye personality za ajabu sana

Mwanae anashida sana
 
Mbona wanawake wa makabila ya waswana, Waswazi na makabila kadhaa ya kusini mwa Afrika hawanyoi wanaume hawalalamiki?

Umewahi kuuliza sababu??? Ukienda tena waulize halafu uje utupe mrejesho!!
 
hivi wewe Morg ushazunguka na vidume vingapi?

mpaka leo nashindwa kukuchorea route kabisa uliyopita yani!

halafu nahisi una ID zaidi ya moja, kwanini unapost thread halafu unafutika?

hebu jiseme mwenyewe....!

we ngoja niseto, nina mwezi tu ntakuwa kwa hewa rasmi kwa ajili yako, tutazungumza kiutu uzima zaidi!
 
Last edited by a moderator:
Hiii ni safisha jijii hutaki kufaa sema siku zote ukwelii mchunguuuuuuuuu
 
Umewahi kuuliza sababu??? Ukienda tena waulize halafu uje utupe mrejesho!!

Wao ni fahari kwa mwanamke kuwa na mavuzi kiasi hicho ni sawa tu na wale wanawake waliotahiriwa au wanaovuta visimi ili viwe virefu
 
Natanguliza samahani kwa wale ambao nitakuwa nimewakwaza jana,lakini ndugu zangu,Tupo kwajili ya kufahamishana tu sio ugomvi wala kashfa,kwani najua mtu akishajua mapungufu yake anajua jinsi ya kutafuta suluhisho.

Nawaheshimu sana kaka zangu,baba zangu,wadogo zangu wote humu JF,Tusambaze upendo.MBARIKIWE.

Back to our main issue:

Jamani jamani jamani,tuko faragha, mwanaume unataka upewe raha zote za dunia,na faragha ni sehemu tofauti na sehemu yoyote,nahitaji watu kujiacha na kujimwaga kwa kila aina lakini kumbe sehemu nyingine majanga hata kuisogelea unawaza na mud inatoka.Unakuta ndugu honey kafuga msitu mkubwa wa kuka chatu na wajukuu zake,

Wanaume kwanini mnakuwaga wavivu wa kusafisha mazingira ya bwana mkuu?(kunyoa mazivu) unataka kumlisha mwenzio majani na taka taka nyingine jamani kweli?

Eti cha ajabu mnakumbuka kutoa ndevu na nywele kila baada ya siku kadhaa lakini zivu na makwapa,ni vichaka vya hatari.

Tunajua mnakuwa busy na majukumu, tunajua mnapitiwa,wewe uliyeoa mkumbushe basi mkeo akusaidie maana si wake wote wanajua wajibu wao,

Wewe unayejiita bachela,jitahidi kuweka hata ratiba au maandishi ukutani ukumbuke kujinyoa sio mnakuja kutulalamikia hapa,eti demu gani hajui mapenzi,hajui kunyonya, anyonye miuchafu hiyo?

Najua mtarudisha kibao kwa wanawake pia mkumbuke nyie mmezidi tena ukutane na mwanaume hata kapafyumu hakajui,saaalaaaleeee boxer uvundo uvundooo.
Kwakweli inasikitisha

JITAHIDINI USAFIIII BWANA

Poleee ila inaelekea mlikutana barabarani na sio mpenzi wako wa muda mrefu kwani wewe ni voda fasta mpaka unalalamika hivyo. Kama ni mpenzi wako na una malengo nae sioni haja ya wewe kulalamika na kuandika humu simple mnaazia bafuni wote wawili na ukikuta mazingira sio mazuri usafi lazima ufanyike na wewe ndo unatakiwa ufanye huo usafi(msaidie). Kwa mtazamo wangu inaelekea mmekurupuana somewhere na kama ni dar uwiiiiiii bila kuanzia bafuni hakuna kitakacho endelea kabisaaaaaa coz joto tu la kutoka mlimani city ndani mpaka ukute gati lako parking tosha kabisa kuharibu mazingira kama hakujakaa sawa.
 
Wenzako wanapenda hizo misitu we unataka zifyekwe ili iweje ? Kwanza tutake radhi umetushambulia sana .
 
We mwanamke una maneno sana ndio maana unashindwa kudumu na partners unakuja hapa kuanza kusema "single mothers are discriminated against"

Ngoja nikufundishe kitu ingawa "old dogs can't learn new tricks" wanaume hatupendi wanawake wenye maneno maneno na wanojifanya wajuaji sanaaa. Hata kama mwanaume ana makosa, you have to find a polite way to talk to him la sivyo ukijifanya unapandisha sauti ndio wanaume wanakukimbia bila hata kukwambia.

Kama umekutana na mwanaume hajanyoa, kaa kimya, kama inawezekana kupata vifaa tafuta nenda kamsafishe. Itaondoa maneno na itawaleta karibu zaidi. Unapoanza kumsimanga ndio mwisho wa siku hata kusimamisha atashindwa halafu uje tena hapa useme wanaume wa siku hizi hawasimamishi.

Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom