Vichaa wanaheshimu mambo matatu! Pesa magari na mapenzi

Vichaa wanaheshimu mambo matatu! Pesa magari na mapenzi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,904
Reaction score
831,232
Mada hii haiwahusu wale waliorukwa na akili kwa asilimia 100, wale wa kufungwa kamba na magogo,....! Lakini nao wakitulia kuna baadhi ya akili na hisia huwarudi.

Kichaa anajua thamani ya hela
Atafanya vituko vyote ukimpa hela kama hatatabasamu na kuipokea, ataichukua na kuisunda.. Na lazima baada ya hapo awe mpole.. Pesa ni catalyst ya uchizi lakini pia ni tiba!

Magari barabarani.. Kichaa pamoja na uchizi wake na vituko vyake.. Akifika barabarani zinamrudi kwa muda..! Kama ni kuvuka atavuka kwa tahadhari kubwa. Ama atayakwepa ama atasubiri yapite.. kichaa pia kinaogopa kifo.. Ni ngumu sana kumkuta kichaa kagongwa na gari!

Mapenzi ya wawili... Pamoja na uwendawazimu wao wote... Hisia hubaki salama salimini.. , hamu huwajia na ashiki huwapanda...! Na ndio maana hufikia hatua ya kubaka, hufikia hatua ya kutongoza, hufikia hatua ya kujichua na hufikia hatua ya kuwa na mpenzi wa kaliba yake.

Wako hivyo walivyo kwakuwa asilimia zimezidi 50 kwenye sekta zote ndani ya serikali ya mudulla. Lakini kila binadamu ni chizi na ni kichaa kwenye sekta mojawapo. Tunachotofautiana ni asilimia tu.

Kuna sex maniac .. Vichaa wa mapenzi hawa kwenye ngono ni wendawazimu na usipomfikisha panapomfika anaweza hata kukujeruhi. Na kati yao hao akipenda amependa na ole wako umtende...!! Utajua hujui.

Kuna wagonjwa vichaa wa pesa. Akiwa hana ni mtulivu, mtakatifu yeye.. Mtu wa Mungu na hekima zote.. Akiikamata laki au mshahara utafikiri kuna pepo limempanda.. Akili zitamrudi pesa ikiisha.

Kuna vichaa wa magari
Kuna vichaa wa misambwanda
Kuna vichaa wa mavazi nknk
Natambua nawe una chako ila hatukioni kwakuwa asilimia ni chini ya 50

CC: mrangi , NAKWEDE
 
kumbe sasa tunajifunza akili ni tofauti kabisa na utashi.
 
Kuna kichaa alikuwa anaenda mtoni, hasa sehemu wanazoogea wanawake, anatengeneza kishimo kwenye mchanga halafu anapiga zile back and force movements kwenye kishimo alichokitengeneza. Ajabu!
Meditation hiyo anavuta hisia halafu anapiga bao..lakini maranyingi hii ni mchanyiko na mapepo machafu
 
Kiongozi nafikiri MUZIKI pia unawahusu kwa kiasi kikubwa.
Ukipigwa mziki mtamu kichaa naye anakubali kuwa hii Ngoma imekaa vzr
Yeah na unaweza kuacha fujo zake akatulia kabisa mpaka mziki uishe
 
Mimi kichaa wa simu kwakweli kila mwaka lazima nishike flagship zote za Samsung na Apple.... watu wananishangaa ila ndo hivyo... kingine perfume yaani nina perfume zaidi ya 100 na zote brand...
Kuna jamaa yeye kuiba chupi za kike.. Nadhani mimi ilikuwa tunguli ila kwasasa nimepona
 
Back
Top Bottom