Piga nao stori tu mkuuVichaa wa kiume aisee
Hawana dhambi hao mkuu usi wakimbie[emoji2] [emoji2] [emoji2] , dah!
Asante kwa ushauri mkuuBaraka izo kua katika hali walio nayo hawakupenda pengine nj sababu za kimagonjwa au binadamu na ndani yake kuna uwepo wa Mungu, na kumbuka Mungu anamaksudi yake, watendee wema kwan nao ni binadam wanahitaj haki zao za msingi kama binadamu wengine, haki moja wapo ni upendo, waonyeshe upendo kama Mungu ameweza kukupa nafasi iyo,
Wewe ni daktari au Nesi eee?? Basi huenda una Nyota nzuri na wao, endeleza urafiki nao na uwasaidie kadiri uwezavyo..nao ni binadamu wanahitaji farajaSiku zote nimekuwa nikiwakubali sana
Mara nyingi nikikutana na kichaa lazima adondoshe tabasamu