mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 6,140
- 6,356
Vichaa waliambiwa watengeneze TV kwa kutumia maboksi. Siku ya kuleta TV vichaa wote wakaleta maboksi kasoro mmoja aliyekuja na karatasi. Dokta akahisi amepona akamuuliza wewe vipi mbona umeleta karatasi? Kichaa akajibu:Hamna Dokta hii ni FLAT SCREEN.