Unakuta bado uko team mafisi, huna mke halafu anatokea kichaa mmoja mwenye kila sifa ya kuwa mke...anatabasamu muda wote...tukubaliane ndugu yangu,nawe usingejitia ukichaa ili muwe vichaa wote muyajenge? cc mshana jr

Technically Mfu ni binadamu mwandamizi yaani ingekuwa vyeo vya kijeda tuseme basi mfu keshamaliza nyota zote za kibinadamu hivyo kusema naye si jambo baya kwa kuwa hata mkulu wa wajeda huwa anaongea na makuruta wasio hata na V!