Vicent Nyerere na David Silinde wanaunguruma saa hizi, Tunduma

Vicent Nyerere na David Silinde wanaunguruma saa hizi, Tunduma

Mbona anatumia siraha nzito sana, kuna uchaguzi uko nini?

Ni kweli mkuu mh.Vicent ni silaha ya ukweli katika ukombozi wa Tanzania, anahoja za msingi sana kwanza awashangaa wanaovumsha kuwa anataka kurudi ccm. Awaambia hawezi kwenda kwenye chama kinachokufa ili na yeye akawe mfiwa badala ya mzikaji...hili ni jembe ambalo chadema hawastahili kulipoteza.
 
Hakuna kama chadema tanzania chama cha wanyonge na ndio tegemeo la sasa kwa watanzania wa leo tunakubali kuwa mda umefika watanzania kuhitaji mbadala wa walanguzi wa watanzania na kuwaleta ikulu wenye mapenzi mema na watanzania.peoplessssssssssssssss power
 
mkuu hizi ni harakati za kukomboa nchi yetu na kuikabidhi kwa wananchi wenyewe.
 
Awaambia ccm iache kukopi sera za chadema kama elimu bure na kushusha vifaa vya ujenzi asema ccm wamechoka kufikiri waitaji kukaa pembeni.!
watanzania tuunganeni na hawa makamanda kwani hakuna msahafu utakao tuonyesha njia ya ukombozi wa kweli wataifa letu
 
nikojimbonikwake,hata wiki haijapita tangu atoke huku.
 
1. MH.Nyerere alipinga mbio za mwenge kwa kuwa falsafa yake ya kuwamulika mafisadi haipo tena ila sasa mwenge huo unawamulikia ili wafanye ufisadi zaidi.
2. Alipinga kuzimwa kwa Runinga za Analogia ifikapo tarehe 1/1/2013 kwa kuwa kuendelea kuzitumia hakuna athari yoyote kiafya kwa mtazamaji. Aidha aliongeza kwamba kuzima runinga hizo ni kuvunja katiba kwani kila mwananchi ana haki ya kupata habari.
 
nikojimbonikwake,hata wiki haijapita tangu atoke huku.
leo tar.19 atakua iringa kwa kamanda Msigwa viva kamanda Vincent tuko nyuma yako..mkutano wake wa Tunduma umeacha gumzo kulingana na nondo zake za ukweli.!
 
Hii ndio tofauti ya CCM na CHADEMA.
Unaweza ukatafuta hawa watu leo wamefanya shughuli gani japo ya kisiasa zaidi achilia mbali kusimamia serikali
1. kinana
2. Nape
3. Mangula
4. Mchumi daraja la kwanza
5. au mbunge yeyote wa CCM?

Mkuu huyo kwenye red nicipomcikia au kumuona kwenye news nakosa amani kabisa.. Nahofia usalama wa tembo wetu mbugani.. Tujitahidi kumuwekea surveillance ila acije kuwadhuru tembo zaidi..
 
Back
Top Bottom