Haina haja kwenda katika mahakama hizi za kifisadi za CCM, huku alikoshtaki kwetu sisi wananchi tulio mlilia baba wa taifa ni zaidi ya mahakama. Tunawaambia watoto wetu kuwa historia imepotoshwa na ukweli umejulikana kuwa Mwl Nyerere aliuwawa na Rais Mkapa kwa tamaa yake ya kuiba rasilimali za nchi. Na watoto wetu watawaambia watoto wao na habari hii itaendelea kwa vizazi vijavyo katika Tanzania. Adhabu hii kwa Mkapa ni zaidi ya hukumu ya mahakama