VICE ROY inapitikana Arusha mbona haipo mikoa mingine

VICE ROY inapitikana Arusha mbona haipo mikoa mingine

mikononyuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
641
Reaction score
606
Hii kitu Arusha tunaipata ata Grocery ya mtaa lakini kila mkoa +Dar es salaam kupata ni shughuli

Kwingineko ata hawajui kama kuna kitu ka iyo.
Unamuuliza muhudumu yaani ata hajui kama kuna kitu ka iyo.

Sifa kubwa NI usmooth wake kooni

Bablai uwezi fananisha na kitu woote kama K-v , Ginya, valuuuu japo bei zinafanana.

IMG_20211023_150615.jpg
 
Back
Top Bottom