Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Huyo kenge atarudi tu. Wala usitumie nguvu nyingi wewe uachie WAKATI utasema. Utasikia oooo….nilikuwa nakutania tuu….blablabla kibao. ILA POLE KIONGOZI HAYO NDIO MAISHA.Habari wanajamii forum poleni na kazi za ujenzi wa taifa.naenda straight to the point Kuna mdada mmoja nilikuwa namuelewa lakini kipindi hicho bado nilikuwa masomoni I mean sekondari .nikapiga moyo konde nikimaliza masomo nitamueleza ukweli.miaka ikasonga wote tukabahatika kuingia chuo kikuu. Sasa nikamtongoza mara ya Kwanza akanikataa..ila nikasema in life never give up..mpaka Mara ya tatu ndipo nikapewa jibu ambalo sitosahau maisha "Kaka Asante kwa kunipenda,ila Sina hisia I mean feeling na wewe" Aiseee nilijisikia vibaya ..hivyo now nimeamua kukaa benchi na kusoma mchezo..mapenzi waachie wenye pesa tu..lakini nanyi wadada muwe na majibu mazuri basi..kupendwa sio dhambi Asante...
Thankspoleee.Ila bora kakuambia ukweli kuliko kukudanganya alafu baadae uumie zaid.
Anacho zungumzia mtoa Mada ni majibu yaani hata kama humtaki mtu mwambie kistaarabuMbona kafanya vyema sana sioni tatzo hapo
Mbona kajibiwa vizuri kabisa na ukisoma bandiko lake anadai alishakataliwa zaid ya mara moja hakuwa mwelewaAnacho zungumzia mtoa Mada ni majibu yaani hata kama humtaki mtu mwambie kistaarabu
Hivi unajua kama leo kuanzia saa tatu kuna ela nyingiiiiiiiiiiiiiiiime sioni tatizo kawa muwazi.
Msijidanganye kwamba kila kitu ni hela....unaweza kuwa nazo nyingi tu na bado baadhi ya wanawake wasitake kabisa kujihusisha na wewe. Japo sio wengi sana kwa kizazi cha leo kinachoongozwa na tamaa ya pesa ila wapo.Hapo mafeelings ni pesa.
Nipe basi mpenziHivi unajua kama leo kuanzia saa tatu kuna ela nyingiiiiiiiiiiiiiiii
Nipe basi mpenzi
Habari wanajamii forum poleni na kazi za ujenzi wa taifa.naenda straight to the point Kuna mdada mmoja nilikuwa namuelewa lakini kipindi hicho bado nilikuwa masomoni I mean sekondari .nikapiga moyo konde nikimaliza masomo nitamueleza ukweli.miaka ikasonga wote tukabahatika kuingia chuo kikuu. Sasa nikamtongoza mara ya Kwanza akanikataa..ila nikasema in life never give up..mpaka Mara ya tatu ndipo nikapewa jibu ambalo sitosahau maisha "Kaka Asante kwa kunipenda,ila Sina hisia I mean feeling na wewe" Aiseee nilijisikia vibaya ..hivyo now nimeamua kukaa benchi na kusoma mchezo..mapenzi waachie wenye pesa tu..lakini nanyi wadada muwe na majibu mazuri basi..kupendwa sio dhambi Asante...