kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,774
- 1,695
Lakini Wana tofauti ganiVibe coding ni sawa na fundi simu ambae hajasoma electronics au fundi magari wa gereji ambae hajasoma veta au DIT.
Lakini Wana tofauti ganiVibe coding ni sawa na fundi simu ambae hajasoma electronics au fundi magari wa gereji ambae hajasoma veta au DIT.
Uko sahihi coz ukijua kuanalyse itakua rahisi pia kujua namna sahihi ya kuandika au kuchagua logics za algorithms zako bila kuathiri system nzima hapo baadae.Ishubya coding ni logically organizing of instructions to direct computer, syntax tayari zipo hivyo ww Cha msingi ni kujua mpangilio tu,now coding ni rahisi kwa msaada wa AI,kwa hiyo ni Bora mtu kuwa vzuri katika system analysis na UI
Wana utofauti mkubwa, vibe coder anafocus kwenye end result tu, so hajali chochote cha kwenye background.Lakini Wana tofauti gani
Ndugu,now mtu hatari ni System Analyst and UI designer and Prompt Engineer,Cha kujitaidi ni kujua tu unacho taka lakini mambo yamekuwa simple sanaWana utofauti mkubwa, vibe coder anafocus kwenye end result tu, so hajali chochote cha kwenye background.
Algorithm moja inaweza kuandikwa kwenye logic tofauti tofauti na kwenye Kila logic huwa kunakua na faida pamoja na hasara zake katika system husika so usipokua mzuri kuelewa hiki kipengele na ukaamua kuitegemea AI ikugeneratie codes zote then wewe ukawa unavibe nazo tu lazima upoteze.
Exactly ndio maana unashauriwa kutumia Ai tools tofautiUko sahihi coz ukijua kuanalyse itakua rahisi pia kujua namna sahihi ya kuandika au kuchagua logics za algorithms zako bila kuathiri system nzima hapo baadae.
AI hufanya mambo kuwa rahisi ila si kila code inayogeneratiwa na AI inafaa kwa matumizi in a long run.
Sio AI tools tofauti, ila unatakiwa ujue unachokifanya ili uwe selective.Exactly ndio maana unashauriwa kutumia Ai tools tofauti
Yes,Sio AI tools tofauti, ila unatakiwa ujue unachokifanya ili uwe selective.
Niko nayo muda wote ni balaa sana mazeee.Cursor AI
Unataka kujua Nini hasaNawewe kumbe waitumia? uko na experience kwenye app development maana namtafuta mtu wakumuuliza maswali wawili matatu hapo.
Vibe coder ukiwa na logic thinking inasaidiaa na ukiwa full nondo kuhusu Programing itakua chap tu AI ni nzur ukijua nguvu na udhaifu wakeVibe coders😅😅... Huwa ni wazinguaji sana code hazipo organized, full viraka yani thou kwenye swala la production wako fasta sana, project unampa leo siku mbili tatu tayari iko mkononi wakati ukimpa mtu anaefuata misingi ni mwezi.
Ni kweli muhimu security, performance, architecture designKuna project itabidi nifanye vibe coding 😅 bila hivyo matarajio ya kuikamilisha ni December au January 2026.
Watu wengi wanaipiga vita vibe coding kwasababu wengi wanaofanya hivyo hawana knowledge kwenye vitu muhimu kama security, matokeo yake wanaunda SaaS ambazo zinakuja ku-leak data za watumiaji.
Kwa hii kasi ya Tech ni muhimu ukajua basics ya unachokifanya kwanza halafu AI ikusaidie kurahisisha na kufanya kazi kwa uharaka.
Ai ni assistant tu ukiongeza ujudi unajua kufanya development chapi mim ningechelewa kuelewa mfumo wa code bila AI coz inanipa kila details najifunza step by step..Vibe coding ni sawa na fundi simu ambae hajasoma electronics au fundi magari wa gereji ambae hajasoma veta au DIT.
Ni sahihi mkuuVibe coder ukiwa na logic thinking inasaidiaa na ukiwa full nondo kuhusu Programing itakua chap tu AI ni nzur ukijua nguvu na udhaifu wake
Wamezungumzia vibe coding. Sio sawa na AI. Nimetolea mfano fundi gereji kwa maana hana ujuzi wa ndani wa auotomobile engineering, huwa wanabahatisha bahatisha tu.Ai ni assistant tu ukiongeza ujudi unajua kufanya development chapi mim ningechelewa kuelewa mfumo wa code bila AI coz inanipa kila details najifunza step by step..
Ukiwa nondonkwenye programming wewe sio vibe coder. Vibe ni kama mihemko ya kutumia teknolojia kuunda apps nk. Hii ni kwa wale wasio na ujuzi wa computer science nk. Kwa jinsi nilivyoelewa chambuzi mbali mbali kwenye platform kama tiktok.Vibe coder ukiwa na logic thinking inasaidiaa na ukiwa full nondo kuhusu Programing itakua chap tu AI ni nzur ukijua nguvu na udhaifu wake
Ndio Unaweza kutumia hata kama ni ProUkiwa nondonkwenye programming wewe sio vibe coder. Vibe ni kama mihemko ya kutumia teknolojia kuunda apps nk. Hii ni kwa wale wasio na ujuzi wa computer science nk. Kwa jinsi nilivyoelewa chambuzi mbali mbali kwenye platform kama tiktok.