How?Inasikitisha sana
Iko vizuri, unajua unapokua na code assistant kwenye IDE wakati wa una-code ni unyama sanaMkuu kama uko kwenye coding nakushauru tumia firebender AI assistance...
Nawewe kumbe waitumia? uko na experience kwenye app development maana namtafuta mtu wakumuuliza maswali wawili matatu hapo.Iko vizuri, unajua unapokua na code assistant kwenye IDE wakati wa una-code ni unyama sana
Nimeitumia sana kipindi inatoka. sawa we uliza kwa faida ya wengine piaNawewe kumbe waitumia? uko na experience kwenye app development maana namtafuta mtu wakumuuliza maswali wawili matatu hapo.
Vibe coders😅😅... Huwa ni wazinguaji sana code hazipo organized, full viraka yani thou kwenye swala la production wako fasta sana, project unampa leo siku mbili tatu tayari iko mkononi wakati ukimpa mtu anaefuata misingi ni mwezi.Habari wadau,
Kuna haya yanayaoendelea huko duniani hususani matumizi ya AI katika kutengeneza applications, softwares na programs mbalimbali. Dhumuni la uzi huu ni kupata mchango na kushare nini unatengeneza July hii.
Pia kama tunaweza kuteam up.
okVibe coders😅😅... Huwa ni wazinguaji sana code hazipo organized, full viraka yani thou kwenye swala la production wako fasta sana, project unampa leo siku mbili tatu tayari iko mkononi wakati ukimpa mtu anaefuata misingi ni mwezi.
Umenena vyema. Vibe coding ni bora ikatumika kwenye front end na UI designs, likini inapokuja back-end hasa kama kutahusisha transsactions and verifications hapo una outsource kwa wenyewe wazee wa kaziKuna project itabidi nifanye vibe coding 😅 bila hivyo matarajio ya kuikamilisha ni December au January 2026.
Watu wengi wanaipiga vita vibe coding kwasababu wengi wanaofanya hivyo hawana knowledge kwenye vitu muhimu kama security, matokeo yake wanaunda SaaS ambazo zinakuja ku-leak data za watumiaji.
Kwa hii kasi ya Tech ni muhimu ukajua basics ya unachokifanya kwanza halafu AI ikusaidie kurahisisha na kufanya kazi kwa uharaka.
Siko na utaalamu katika coding lakini nmeweza kutengeneza app yangu kupitia msaada wa hizi AI assistance. Nataka sasa kujaribu features zote maana app yenyewe inahusu mahali napofanyia kazi kama njia ya mawaziliano katika kampuni kati ya ( muajiri na muajiriwa)Nimeitumia sana kipindi inatoka. sawa we uliza kwa faida ya wengine pia
Oy naomba odd mbili nimununulie shemeji Yako kagariInasikitisha sana
Nitaifanyia kazi hii:firebender AI
https://www.forexfactory.com/thread/post/15269679#post15269679
Mm nmeenda hv leoOy naomba odd mbili nimununulie shemeji Yako kagari
Ngoja nichukue Moja hapa
Ijapokuwa kila kitu kina changamoto zake ila hiyo firebender naweza i rate ⁵/⁵ kutokana na experience yangu ila nmepata kitu kipya kutoka kwako nitaifanyia kazi hiyo hapo juuNitaifanyia kazi hii:
- Muda mwingi natumia Windsurf & Cursor AI
Ishubya coding ni logically organizing of instructions to direct computer, syntax tayari zipo hivyo ww Cha msingi ni kujua mpangilio tu,now coding ni rahisi kwa msaada wa AI,kwa hiyo ni Bora mtu kuwa vzuri katika system analysis na UIVibe coders😅😅... Huwa ni wazinguaji sana code hazipo organized, full viraka yani thou kwenye swala la production wako fasta sana, project unampa leo siku mbili tatu tayari iko mkononi wakati ukimpa mtu anaefuata misingi ni mwezi.