madameT Member Joined Feb 18, 2015 Posts 46 Reaction score 5 Jun 19, 2015 #1 Wakuu mu wazima? Mimi naulizia kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu nafasi za vibarua katika maonyesho ya wafanyabiashara Sabasaba. Msaada tafadhali!
Wakuu mu wazima? Mimi naulizia kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu nafasi za vibarua katika maonyesho ya wafanyabiashara Sabasaba. Msaada tafadhali!
Kel-dizo JF-Expert Member Joined Mar 24, 2015 Posts 423 Reaction score 168 Jun 20, 2015 #2 Na mimi pia niko humohumo!
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,744 Jun 20, 2015 #3 Nikipata taarifa nitakujuza madameT Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Depretty JF-Expert Member Joined Jun 14, 2013 Posts 248 Reaction score 99 Jun 20, 2015 #4 na mimi mnijuze
madameT Member Joined Feb 18, 2015 Posts 46 Reaction score 5 Jun 20, 2015 Thread starter #6 rubii said: Nikipata taarifa nitakujuza madameT Click to expand... Asante ndugu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
madameT Member Joined Feb 18, 2015 Posts 46 Reaction score 5 Jun 20, 2015 Thread starter #7 Basi tusubiri kupata taarifa kutoka kwa rubii..hata mtu mwingine pia mwenye taarifa
Ibrahim daud JF-Expert Member Joined Feb 10, 2013 Posts 609 Reaction score 525 Jun 21, 2015 #8 mwisho wa kupokea.maombi.ulikuwa ijumaa. hii tegemeeni.cm
Msigazi Mkulu JF-Expert Member Joined Dec 22, 2013 Posts 4,186 Reaction score 3,421 Jun 21, 2015 #9 ibra2013 said: mwisho wa kupokea.maombi.ulikuwa ijumaa. hii tegemeeni.cm Click to expand... Hizo kaz mbona haztangazwi
ibra2013 said: mwisho wa kupokea.maombi.ulikuwa ijumaa. hii tegemeeni.cm Click to expand... Hizo kaz mbona haztangazwi
faabroz JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 286 Reaction score 69 Jun 21, 2015 #10 njooni banda la tpdc niwape ya kufagia
Jenseny JF-Expert Member Joined Jan 26, 2011 Posts 1,743 Reaction score 1,742 Jun 21, 2015 #11 nenda pale ndani ulizia ofice za Tantrade muulizie bro mmoja anaitwa Emma atakusaidia nenda kbla ya tarehe 24
nenda pale ndani ulizia ofice za Tantrade muulizie bro mmoja anaitwa Emma atakusaidia nenda kbla ya tarehe 24
madameT Member Joined Feb 18, 2015 Posts 46 Reaction score 5 Jun 21, 2015 Thread starter #12 faabroz said: njooni banda la tpdc niwape ya kufagia Click to expand... Hyo kazi ya kufagia wanalipwaje?yaan mshahara sh ngapi?
faabroz said: njooni banda la tpdc niwape ya kufagia Click to expand... Hyo kazi ya kufagia wanalipwaje?yaan mshahara sh ngapi?
madameT Member Joined Feb 18, 2015 Posts 46 Reaction score 5 Jun 21, 2015 Thread starter #13 ibra2013 said: mwisho wa kupokea.maombi.ulikuwa ijumaa. hii tegemeeni.cm Click to expand... Duu maana tumechelewa ..basi tujuze kama ukisikia kunabanda bado linapokea watu
ibra2013 said: mwisho wa kupokea.maombi.ulikuwa ijumaa. hii tegemeeni.cm Click to expand... Duu maana tumechelewa ..basi tujuze kama ukisikia kunabanda bado linapokea watu
madameT Member Joined Feb 18, 2015 Posts 46 Reaction score 5 Jun 21, 2015 Thread starter #14 Jenseny said: nenda pale ndani ulizia ofice za Tantrade muulizie bro mmoja anaitwa Emma atakusaidia nenda kbla ya tarehe 24 Click to expand... Asante sana mdau
Jenseny said: nenda pale ndani ulizia ofice za Tantrade muulizie bro mmoja anaitwa Emma atakusaidia nenda kbla ya tarehe 24 Click to expand... Asante sana mdau
R roytmeller Senior Member Joined Mar 9, 2015 Posts 109 Reaction score 18 Jun 21, 2015 #15 Huku kwetu kuna mabango, yameandikwa ajiriwa sabasaba na mshahara ni 240,000
madameT Member Joined Feb 18, 2015 Posts 46 Reaction score 5 Jun 21, 2015 Thread starter #16 roytmeller said: Huku kwetu kuna mabango, yameandikwa ajiriwa sabasaba na mshahara ni 240,000 Click to expand... Wapi huko tupe namba walizoandika na vp wameandika mwisho lini kupokea watu
roytmeller said: Huku kwetu kuna mabango, yameandikwa ajiriwa sabasaba na mshahara ni 240,000 Click to expand... Wapi huko tupe namba walizoandika na vp wameandika mwisho lini kupokea watu
R roytmeller Senior Member Joined Mar 9, 2015 Posts 109 Reaction score 18 Jun 21, 2015 #17 Ngoja nikipita nitachukua namba kisha nikuletee madame T
madameT Member Joined Feb 18, 2015 Posts 46 Reaction score 5 Jun 21, 2015 Thread starter #18 Sawa roytmellee
Depretty JF-Expert Member Joined Jun 14, 2013 Posts 248 Reaction score 99 Jun 22, 2015 #19 kesho mi naenda kuangalia hukohuko tusisubili kutangaziwa humu..ntakuja kuwapa majibu wakuu
Tuya JF-Expert Member Joined Aug 30, 2008 Posts 312 Reaction score 79 Jun 22, 2015 #20 Deprety utakua umefanya la maana sana hata no za simu chukua uje weka hapa watu wajaribu bahati jamani na Mungu atakubariki maana huo ndio uzalendo mkuu
Deprety utakua umefanya la maana sana hata no za simu chukua uje weka hapa watu wajaribu bahati jamani na Mungu atakubariki maana huo ndio uzalendo mkuu