Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,565
- 55,684
Sio mimi ila ni sheria za kimtandao. Twitter hawana server tz.Kumbe unajua hawawezi kutoa data za hao wahuni wanaofanya makosa. Dawa ni kuufungia hapa Tanzania.
Sitaki kwenda ndani juu ya ishu ya JF ila nataka nikuambie Tcra wana mandate ya kuifungia Twitter. Nenda kasome sheria ya Tcra utapata majibu. Hayo mengine ni nje ya mada.Sio mimi ila ni sheria za kimtandao. Twitter hawana server tz.
Na kwa record tu ni kuwa kama mlishindwa kupata identity za watumiaji wa mtandao wa jamii forums.
Mtandao wa hapa nyumbani?
Na bado haujafungiwa.
Twitter mtaweza?
Kitaalam labda mzime internet, la si hivyo kuna njia zaid ya tano za ku access twitter.
Kuacha hii mliyozoea.
Good example ni china.. pamoja kwamba wamefungiwa lakin bado kuna wachina wako twitter na wana post vitu. Wamewezaje na mtandao umefungiwa kwao?
Wanatumiaje whatsapp japokuwa imefungiwa kwao?
Simple. Maarifa.
Pia wana mandate ya kufungia JF.Sitaki kwenda ndani juu ya ishu ya JF ila nataka nikuambie Tcra wana mandate ya kuifungia Twitter. Nenda kasome sheria ya Tcra utapata majibu. Hayo mengine ni nje ya mada.
Futa huu upuuzi wako. Huna akili hata za kuwa member Jf unalazimisha tu.Dakika inaenda ya 40 tangu ufungue thread watu hata kujibu wameipuuza. Yaani hata kukupinga tu wamedharau
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtanzania yupi alifungwa au kufunguliwa kesi na serikali kisa anawasumbua na kuwashitaki wawekezaji apo Tanzania?Ishu ni scholariship au ubeberu? Unaweza kupewa scholariship huku unaambiwa makampuni yanayochimba madinin yasilipe kodi. Jambo ambalo mtia nia wenu wa urais alikuwa analitetea.
Hiyo sio justification kwamba bado ni yule yule wa mwaka 2000 au 2008. Anaweza kuwa hapo awali alikuwa mzalendo alafu akanunulika na kubadilika.Ni mtanzania yupi alifungwa au kufunguliwa kesi na serikali kisa anawasumbua na kuwashitaki wawekezaji apo Tanzania?
Ni mtanzania gani alijitolea muda na mali zake kuwatetea wananchi 2000 waliokua wamenyimwa haki zao na mgodi wa North Mara pale Nyamongo?
Ukijibu apo nitakuelewa
Kwahiyo ata JPM awali alikua sio mzalendo kama Lissu alivyokua?Hiyo sio justification kwamba bado ni yule yule wa mwaka 2000 au 2008. Anaweza kuwa hapo awali alikuwa mzalendo alafu akanunulika na kubadilika.
ccm ni ukoo wa panya na ni mawakala wakuu wa mabeberuAmenunu ndege kwa siri? Mikataba anasaini kwa siri? Ana chake kwenye Twiga minerals corp? Mh...