OleWako
Member
- Sep 7, 2021
- 24
- 67
Leo nimekuta vibanda vyote huko stendi ya daladala Kawe kwa Mwamposa vilibomolewa. Baada ya vilio vya muda mrefu vya wakazi na wapanda daladala, serikali inaanza kuchukua hatua za kuboresha mazingira ya stendi au ni kusimamia kwa kanuni za eneo tu?
Natumaini sana hatimaye maboresho yatafanywa.. Stendi hii isiendelee kuwa miongoni mwa stendi bovu jijini Dar es Salaam. Hasa wakifungua maghorofa mapya ya makazi hapo karibu na stendi, load itaongezeka. Hali ambayo haisapotigi na stendi ya mchanga na matope..