Kwa mahitaji ya vibanda vya kisasa.
Tunatumia mbao ngumu na bodi ngumu. Finishing ya film stickers na PVC panels.n.k
tupe oda boss tukutengenezee lako.
Vibanda vya juice.
Vibanda vya wakala.
Vibanda vya migahawa.
Vibanda vya walinzi.
Vibanda vya ofisi ndani ya magodauni ya viwandani.
Boss tutakudesignia kulingana na mahitaji Yako.
Gharama halisi ya kibanda inategemea na ukubwa na design.
Tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kazi.