JOYSTICK
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 221
- 57
Mida hii natoka Bar ya Hongera hapa karibu na chuo cha ustawi,nikaelekea kwenye parking ya upande wa kushoto iliyopakana na uzio wa chuo kuchukua ndinga yangu nakuta mama,Mzee mmoja na mlinzi wamekaa.Nkawasalimia gafla wanasema tumeibiwa hee,kwanza sikuelewa wakanionyesha sehemu ya nyuma ya kioo cha gar ya yao vibaka hao wakiwa wamepasua na kuchukua mkoba wa huyo mama ukiwa na pesa,vitambulisho vya kazi na leseni pamoja na vitu vingine.Halafu boss wa hiyo kampuni ya ulinzi alivyopigiwa simu akahoji kwanini waliacha vitu kwenye gari... Vibaya jamani tunarudishana nyumaaaa nashukuru Mungu Gari yangu ilikuwa ya kwanza then ya huyo mama haijaguswa dah wamenyofoa hata taa wangenitia harasa na hivi sina pesaa