Viazi Vitamu kwa Bei nafuu

Ukishikwa huko mipakan wanataifisha gari zote hahaha yes ulez upo stable na karanga nadhan
 
Ukishikwa huko mipakan wanataifisha gari zote hahaha yes ulez upo stable na karanga nadhan

Gari hapana watataifisha ni mwendo wa baiskeli usiku ,,

Ukivusha gunia zako 10 unaenda kuuza chapu chapu kouya tsako na kanyi!!
 
Ukishikwa huko mipakan wanataifisha gari zote hahaha yes ulez upo stable na karanga nadhan

Karanga zipo vizuri sana pia,, mahind ya njano yale ,mahind yale ya popcorn,,

Ukiwa na uwezo wa kununua gunia la karanga na kulikaanga wiki moja na kulimaliza huwezi kosa 50,000 profit ( unatafuta oda kwenye maduka na mini supermarket kwanza) .

Sema vijana wanataka waanzie juu
 
Hapana umekosea hesabu mzee baba...debe 1 la karanga ukilichambua na kukaanga linatoa almost faida half half..kuna dogo anakaanga..nadhan anapaga faida km ya 20000...nadhan ni zajdj ya 50000
 
Duh..10 tu🤔..hayo maneno yan maan gan

"Ukivusha gunia zako 10 unaenda kuuza chapu chapu kouya tsako na kanyi!"

Ukivusha gunia zako 10 unaenda kuuza chapu chapu unarudi zako nyumbani.

I'm sorry sijui nilikuwa nafikiria nini.
 
Hapana umekosea hesabu mzee baba...debe 1 la karanga ukilichambua na kukaanga linatoa almost faida half half..kuna dogo anakaanga..nadhan anapaga faida km ya 20000...nadhan ni zajdj ya 50000

Ndio karanga zina faida kubwa sana wakti mwingine ya 100% .

Nilikutana na Dogo anauza karanga nikamhoji akaniambia ananunua kilo moja kwa 2200 na mkaa wa 500 ,zikiisha hakosi 5500~600 ,maana ake hapo hakosi faida yake ya 2800~3300

Jiulize biashara gani unaweza kuwekeza 10,000 ukapata 9,000~10,000
 
Sasa hapa tunaenda sawa..naye alinipa mahesabu km hayo !zinalipa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…