Viazi mviringo bei Shambani Njombe

Viazi mviringo bei Shambani Njombe

Salummsimbe

Member
Joined
Mar 11, 2026
Posts
5
Reaction score
3
Habari zenu wakuu

Ninaomba msaada wenu. Ningependa kujua Bei ya sasa ya viazi mviringo Obama na Sangita shamba katika eneo la Njombe.

Je, bei kwa mkulima shambani

Bei kwa gunia (100kg) ni kiasi gani?

Pia, ikiwa mtu ana taarifa ya vinapopatika aina ya viazi (mviringo, OBAMA &SANGITA) na msimu, tafadhali naomba ufafanuzi.

Nataka kununua/kuuza, hivyo taarifa halisi na ya hivi karibuni itasaidia sana.

Asante sana kwa msaada wenu!
 
Nenda mwenyewe field kajifunze hukohuko!, ila kikubwa viazi vinapatikana kwa wingi vijiji vya barabara ya kutoka Njombe mjini kwenda makete kama;-Wikichi, Mgodechi, Igagala, Ulembwe, Usalule, Igelango, Makoga, Igosi, Kipengele, Mang'oto, Lupalilo, Mago, Ndulamo,Ivalalila na Ujuni nk ukienda izo sehemu hata fuso zako 20 chap unajaza, suala la bei hebu wadau zaidi waje!.
 
Blessings 🙏 Mkuu
 
Back
Top Bottom