Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
Jamani naomba michango yenu nchi inapoelekea sijui, uchumi hauna muelekeo, ,maisha magumu ....
Pengine sikukuelewa vizuri maana kichwa cha habari na maelezo yana imply as if kipindi cha Mwalimu na Mzee Upara kilikuwa kizuri na huyu rais wa sasa anapwaya na ndiyo maana maisha ni magumu. Hivi unakumbuka kile kipindi [wakati wa mwalimu] maisha yalikuwa magumu kiasi kuwa mtu hutoka kwenda kazini lakini hata kama ameacha pesa hana uhakika atakula nini???
Kwa maoni yangu maisha ni mapambano na kwa bahati mbaya sisi urbanites tunalalamika lakini heinecken ndiyo bia zetu, nyama choma chips mayai ndiyo usiseme na harusi tunachangia kama hatuna akili nzuri lakini elimu kazi kulalama tu. Ukipata vihela kidogo tu basi lazima ununue gari hata kama huihitaji kiasi hicho lakini 'status muhimu'.
Dunia hii ni kuchacharika tuache kulalamika kwa kila kitu ila tuwe na malengo n na mipango inayotekelezeka na tuwe na determination na nidhamu ya kutekeleza.
Tuache kuilalamikia serikali kwani siamini kuwa serikali itatufanyia kila kitu. Mfano mzuri ni marekana ambayo juu ya kuendelea kwake lakini hadi leo medicare siyo universal na social services zimeelemewa na serikali yao ina deficit ya trilioni 3.
TUPAMBANE NA MAISHA INDIVIDUALLY COLLECTIVELY TUTAFIKA TUU
Kweli viatu ni vikubwa mno kwake amevikimbilia bila kujiandaa nafikiri saizi yake inakaribia sawa na ya Mzee ruksa lakini si za Mchonga na mzee wa Uwazi na Ukweli
Lakini jana niliangalia luninga ya Citizen kwenye nyumba ya jirani wakikariri taarifa za IMF wakitusifu kuwa uchumi wetu unakuwa kwa 6.2% tukiwaacha nyuma majirani zetu wa afrika Mashariki!Kweli viatu ni vikubwa mno kwake amevikimbilia bila kujiandaa nafikiri saizi yake inakaribia sawa na ya Mzee ruksa lakini si za Mchonga na mzee wa Uwazi na Ukweli
Lakini jana niliangalia luninga ya Citizen kwenye nyumba ya jirani wakikariri taarifa za IMF wakitusifu kuwa uchumi wetu unakuwa kwa 6.2% tukiwaacha nyuma majirani zetu wa afrika Mashariki!
Kama ni hivyo basi tuanzie hapo. Seriously tunahitaji nini.Hapo nimekukubari Abunwasi, but nyenzo za kupambana peke yako ndo hakuna
Kama ni hivyo basi tuanzie hapo. Seriously tunahitaji nini.
Kuna jamaa yangu mmoja ambaye alikuwa wa kawaida na sasa afadhali sana aliniambia kuwa siri ya mafanikio na mtandao wa anaowafahamu hiyo ndiyo ilikuwa asset kubwa na akaoanisha alichotaka kukifanya matokeo ya msaada hasa wa mawazo wapi aende/aende vipi basi jamaa akatengeneza BP yake na akaanza kidogo kidogo, akajenga uaminifu kwa wadau na matokeo ya struggle ya miaka kama 6 hivi jamaa sasa ana establishment nzuri naye ameweza kuajiri vijana na kuwa train wengine wameiga mfano wake hivi wanajitegemea na yeye anaendelea vizuri sana .
Nimetoa huu mfano kuashiria kuwa inawezekana kufanikiwa iwapo kunda determination na discipline
Songoro acha siasa. Dhana hizo zimepitwa na wakati kuhusu umeme hivi unafahamu ongezeko la umeme ambao limeingizwa kwenye grid katika miaka minne iliyopita [zaidi ya 400MW] Jee hizo barabara unazoziponda jee unafahamu katika kipindi cha miaka 15 zimejengwa barabara mpya za lami urefu wake haujawahi kutokea hata enzi ya mkoloni??.Kila mtu na namba yake ya mguu, nyie mlipompa kiatu hicho mlianza kupima namba ya kiatu au mguu wake, tafakari kwa makini pengine sie wananchi ndo tulokosea kupima mguu, tuliangalia uzuri wa sura tuka assume kuwa na kiatu kitamtosha, kwan hao kiliowatosha walikitumiaje? tatizo la maji,umeme,ajira, miundombinu limeanza hata mama wa mheshimiwa hajachezwa, tatizo lipo kwa wapima viatu sio wavaaji,
Naona JK yuko karibu sawa na mzee ruksa, Mzee ruksa yeye hakuwa na jinsi kwa hali aliyoikuta akaachia uchumi holela free economy/market huyu wa sasa yeye hajui hata anatakiwa afanye nini katika uchumi Mkapa alijua akakusanya kodi JK anatumia kodi ya Mkapa, unajua viongozi wakuu karibu wote/wengi duniani hupimwa kwa mafanikio katika uchumi si bla bla za kukutana na kina RonaldoMkuu luteni yu mean Mzee ruksa mpaka sasa wako level moja na mheshimiwa??
Mwanalugali hizo data za IMF na WB mbona tumeshazizoea kila siku wanasema uchumi wetu unapanda huyo mwakilishi wa IMF David Robinson alipata wapi data kama si kupewa na Mkulo alikwenda vijijini hata kunywa maji ya kisima aonje ladha yake kama si kunywa ya chupa tena si ajabu alikuja nayo toka ulaya mimi huwa naziita hizo data ni za kwenye mafaili ili faili lisiwe tupu is not on ground datazLakini jana niliangalia luninga ya Citizen kwenye nyumba ya jirani wakikariri taarifa za IMF wakitusifu kuwa uchumi wetu unakuwa kwa 6.2% tukiwaacha nyuma majirani zetu wa afrika Mashariki!
Kikwete anafanya kazi nzuri,amefanya kazi nzuri. Viatu havikumpwaya. Lakini hakuna sababu kwa nini atawale kipindi kingine cha miaka mitano. Kumleta Bush hapa siyo sababu ya yeye kuchaguliwa tena.
Mtu mwingine achaguliwe kuwa Rais. Tanzanians must vote for change.
Kikwete amefanya kazi nzuri kama Waziri wa Mambo ya Nje,kwa hiyo,naturally, ikashaniwa kwamba akichaguliwa kuwa Rais,atafanya kazi nzuri sana. Lakini haikuwa hivyo. Kazi ya Foreign Minister aliifanya vyema,and there was not a murmur against him. Lakini kazi ya Urais imekuwa tofauti kabisa.
It is always like that,people are promoted to the level of their incomptence. Wakiwa promoted too much, wakiwa promoted beyond a ceratin levetheir level of competence;wanaanza kuwa incompetent.
Songoro acha siasa. Dhana hizo zimepitwa na wakati kuhusu umeme hivi unafahamu ongezeko la umeme ambao limeingizwa kwenye grid katika miaka minne iliyopita [zaidi ya 400MW] Jee hizo barabara unazoziponda jee unafahamu katika kipindi cha miaka 15 zimejengwa barabara mpya za lami urefu wake haujawahi kutokea hata enzi ya mkoloni??.
Hivi Raisi anaendesha serikali kwa utashi wake binafsi ???? Hata mzee bakhressa hafanyi hivyo itakuwa serikali????? Matatizo tunayo tena mengi tuu lakini suluhisho la matatizo hayo tunatakiwa tatue kama technocrats na siyo wanasiasa maana hali ilivyo sasa kila mtu analalamika kama mwanasiasa [hata hao technocrats]
Naona JK yuko karibu sawa na mzee ruksa, Mzee ruksa yeye hakuwa na jinsi kwa hali aliyoikuta akaachia uchumi holela free economy/market huyu wa sasa yeye hajui hata anatakiwa afanye nini katika uchumi Mkapa alijua akakusanya kodi JK anatumia kodi ya Mkapa, unajua viongozi wakuu karibu wote/wengi duniani hupimwa kwa mafanikio katika uchumi si bla bla za kukutana na kina Ronaldo
Mwanalugali hizo data za IMF na WB mbona tumeshazizoea kila siku wanasema uchumi wetu unapanda huyo mwakilishi wa IMF David Robinson alipata wapi data kama si kupewa na Mkulo alikwenda vijijini hata kunywa maji ya kisima aonje ladha yake kama si kunywa ya chupa tena si ajabu alikuja nayo toka ulaya mimi huwa naziita hizo data ni za kwenye mafaili ili faili lisiwe tupu is not on ground dataz
Mheshimiwa yale aliyotegemea yamekuwa sivyo ndivyo ..
Kikwete anafanya kazi nzuri,amefanya kazi nzuri. Viatu havikumpwaya.
Lakini kazi ya Urais imekuwa tofauti kabisa.
It is always like that,people are promoted to the level of their incomptence. Wakiwa promoted too much, wakiwa promoted beyond a ceratin levetheir level of competence;wanaanza kuwa incompetent.
Mbona hueleweki aloo?