Viatu vya kimasai bidhaa bora ya asili

youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,270
2,987
Soko la viatu vya kimasai linazidi kukua hada katika nchi za nje kutokana na ubora na ubunifu wa viatu vya aina hii

056557cf134425ab186fdd45fef711c9.jpg
ce5193e38ace6786af00bb2f3ce69997.jpg


Viatu hivi vinatengenezwa kwa wingi arusha na nchi ya jirani ya kenya

Sisi tunajihusisha na usambazaji wa viatu kwa jumla na rejareja

cf4463a49cef7c75c150eaa879e8efec.jpg


Viatu vya aina zote vya kiume na kike vinapatikana kwa bei nafuu sana mjini Dodoma

Mawasiliano 0757915043 / 0712385672

Ukiwa Dodoma tunakuletea popote ulipo

7a0c6fc1d5ed56a36e5b364376aeeb1b.jpg


Agiza oda yako mapema
 
Back
Top Bottom