Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Nataka hivyo viwili taja bei ya jumla nikupe location ulete
Nataka hivyo viwili taja bei ya jumla nikupe location uleteView attachment 1220646View attachment 1220647
Andaa elf 45uchukueJumla kuanzia pc 10
Nataka hivyo viwili taja bei ya jumla nikupe location uleteView attachment 1220646View attachment 1220647
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu mbona muhusika hajachagua we unataka hela?
Hapana na wakaka na wababakwani ni vya mademu tu au??
Hivi nilipishana vipi na hii tag jamani, je offer bado ipo ama ushaghairi?[emoji30] [emoji30]financial services chagua hapo nitalipia
Vigezo na masharti kuzingatiwa,offer ilikuwa ya muda maalumu🤣🤣Hivi nilipishana vipi na hii tag jamani, je offer bado ipo ama ushaghairi?[emoji30] [emoji30]
[emoji1] [emoji1] ,sasa umenitag vibaya sikuona Mimi, au ulinifanyia kusudi eeh,nipitwe na offer[emoji16]Vigezo na masharti kuzingatiwa,offer ilikuwa ya muda maalumu🤣🤣
Haya niitie muuzaji aje hapa,anipe utaratibu wa namna ya kumpata inawezekana tupo naye hapa Tarime mjini[emoji1] [emoji1] ,sasa umenitag vibaya sikuona Mimi, au ulinifanyia kusudi eeh,nipitwe na offer[emoji16]
[emoji1] [emoji1] , Tarime tena???Haya niitie muuzaji aje hapa,anipe utaratibu wa namna ya kumpata inawezekana tupo naye hapa Tarime mjini
Inawezekana yupo huku karibu namm nikuchukulie nikuagizie Njombe faster mkuu,mbona karibu tu[emoji1] [emoji1] , Tarime tena???