Mkuu mbona muhusika hajachagua we unataka hela?
Mbona sikukutag wewe kukununulia?Nimechagua
Mbona sikukutag wewe kukununulia?
Hata wewe chagua basi,nimekupa offer muuzajiHaya bana nilimchagulia lakini
Ni ghali sana sanaBei ya hivi elf 20 jumla
Mja moja 25
We unataka kwa bei gani..Ni ghali sana sana
Yeah kuna jinsi fulani bei imekuwa kubwa kwani uko wapi?We unataka kwa bei gani..
Kiatu kizuri hicho cha shangaa.
Ni hicho tu kina bei na ni kizuri
Vingine jumla 17elf
Mojamoja 20
Karibu.
Tutaongea kama ni wa jumla
😂😂kuna kaharufu hapaMbona sikukutag wewe kukununulia?
Yeah kuna jinsi fulani bei imekuwa kubwa kwani uko wapi?
kuna kaharufu hapa
Unataka kuja ununue au sijakuelewaUpo dar sehemu gani tuje wenyewe
Unataka kuja ununue au sijakuelewa
Kama serios nipigie nikupe ramani
Ya kufika kama ni kuchagua utakuja uchague utoe order ndani ya siku 2
Upate mzigo
Samahani sina maelezo mengine zaidi ya hayo nipo dar..bei nimeweka.Nataka kuja kununua weka maelekezo yote hapa
Umeulizwa location, dar kubwa wewe unataka mpaka upigiwe simu kwani ukisema upo tandale au kkoo utapungukiwa nini? Biashara inahitaji nidhamu sana.Samahani sina maelezo mengine zaidi ya hayo nipo dar..bei nimeweka.
No nimeweka.sijajua maelekezo gani tena unayohitaji...sorry
Mbezi beachUmeulizwa location, dar kubwa wewe unataka mpaka upigiwe simu kwani ukisema upo tandale au kkoo utapungukiwa nini? Biashara inahitaji nidhamu sana.
Nashangaa umeshindwa kunyaza ili unywe hiyo dawa!?😳🧐Kunyamaza pia ni dawa