Viatu vinauzwa karibu

Viatu vinauzwa karibu

Lily tom

Member
Joined
Apr 26, 2019
Posts
95
Reaction score
65
Tunauza kwa jumla na moja moja.
Tupo dar.ni viatu imara sana siyo masai
Unayooijua wewe hii ni ngozi ni laini haikauki hata ukiweka juani..
Tunakuletea ppte mkoani tutatuma.
Jumla kuazia pisi kumi.
Bei nzr sna wafanyabiashara karibuni utafurahi..
Piga,0692789868,au 0652132665
IMG-20190929-WA0045.jpeg
IMG-20190929-WA0044.jpeg
IMG-20190929-WA0042.jpeg
IMG-20190929-WA0043.jpeg
IMG-20190929-WA0037.jpeg
IMG-20190929-WA0033.jpeg
IMG-20190929-WA0031.jpeg
IMG-20190929-WA0013.jpeg
IMG-20190929-WA0014.jpeg


Sent from my HUAWEI SCL-U31 using JamiiForums mobile app
 
Weka na bei basi ili na sisi wa huku Nanjilinji tujijue kama tunauwezo wa kununua au la.
Weka kila kimoja na bei yake. Hata kwa jumla pia
 
Location umeweka, picha umeweka, namba za simu zaidi ya moja umeweka ila bei aaaaaah!

Kweli bei ina thamani zaidi ya miguu yako ambayo umeamua ionekane tu jamani?

Weka bei Lily bana
 
Hahaaa umeniksha ngoja niweke bana
Location umeweka, picha umeweka, namba za simu zaidi ya moja umeweka ila bei aaaaaah!

Kweli bei ina thamani zaidi ya miguu yako ambayo umeamua ionekane tu jamani?

Weka bei Lily bana
 
Mie niuzie huyo mmliliki wa hyo miguu ntatoa pesa yeyote ile. Njoo pm pliz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom