We jamaa unapenda sana ligi,mim si mpenz wa simu za bei kali natumia tecno ya bei rahisi na ndio maana camera yake ni ya kawaida lkn haimaanish kuwa siwez kwenda kukopa simu ya bei kali na kulipa kidogo kidogo.
Hivi hata bure na fimbo juu sivai,naonaga Wasukuma wakishamaliza kuuza ngo'mbe wao pale Vingunguti unakutana nao pale Congo Str kwa wachagha wakivigombania.

Hapana mkuu mimi niweke humu (Converse),hivo vya kutembea juu juu siviwezi,hivi viatu nina kila rangi kasoro pink na yellow tu na havichoshi kuvaa.View attachment 1894962View attachment 1894965